Kuendelea kwa Sensa na zuio kwa M4C

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
549
Kufuatia kitendo cha rais kuongeza wiki moja zaidi katika zoezi la sensa huku M4C ikitegemewa kuanza tena jumapili(September 2).

Wadau ningependa kujulishwa kama kuendelea huko kwa zoezi la sensa kutaenda sambasamba na kuendelea kwa lile zuio la serikali dhidi ya mikutano ya Chadema ya M4C ama la?
 
makubaliano ya dr wa ukweli na igp mwema ni kuwa m4c itaanza tena tarehe 2 septemba. mku, nadhani hata wewe wajua kuwa leo ni tarehe2 sep.
 
kufuatia kitendo cha rais kuongeza wiki moja zaidi katika zoezi la sensa huku m4c ikitegemewa kuanza tena jumapili(september 2).

Wadau ningependa kujulishwa kama kuendelea huko kwa zoezi la sensa kutaenda sambasamba na kuendelea kwa lile zuio la serikali dhidi ya mikutano ya chadema ya m4c ama la?
leo imekuwa hayo? Si mkifurahi yanayptokea? Hongera polisi kwa kutimiza wajibu wao
 
Kuna wananchi WACHACHE hawajahesabiwa nao watapeleka taarifa zao kwa wenyeviti wa vitongoji wasiokuwa hata na kifaa kimoja cha sensa!!! Kwahiyo CHADEMA waachwe waendelee na mikutano yao.
 
Back
Top Bottom