Kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025 Vyama Imara ni vitatu tu CCM, Chadema na CUF

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,977
141,988
2025 Uchaguzi mkuu utakuwa Huru na wa Haki

Ni Vyama vitatu tu Ndio vitatoa ushindani wa kweli ambavyo ni CCM, Chadema na CUF

ACT wazalendo itamezwa na CCM huku Tanganyika na Kule Zanzibar CUF itarejesha nguvu zake

Heri ya Mwaka Mpya

Kazi Iendelee

cc: Mzee Mgaya
 
We Mzee,

Nani alikuambia CCM ni Chama Cha Siasa?

CCM ni DINI, tena dini ya Kirumi😠😠
 
Back
Top Bottom