Kuelekea kumpata mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, usomi kuwa kigezo?

mkuu hamy-d, nimeuliza swali specifically kwa jj mnyika kwamba chadema siyo dhaifu? Mbona hadi leo hatuwajui watiania wao wa urais? Sasa mods wamenileta huku kwako nadhani wewe una majibu, mjibie mnyika tafadhali narudia tena, je chadema ni dhaifu?

siasa inahitaji tyming na busara sio kukurupuka huez mfananisha 6 na dr afu 6 kachuja
 
Kama UKAWA watautumia usomi kama kigezo, they will be doing a grave mistake!.
Kigezo kiwe, uwezo, kukubalika na kuchagulika!. Mfano, kwa usomi, Lipumba ndie msomi zaidi, lakini aligombea mara 4 kupitia CUF na mara zote alikataliwa!, kama hawafanya utafiti kwa nini Lipumba alikataliwa na kumfanya mgombea wa UKAWA kwa matumaini kura za Chedema na NCCR ndizo zitamuokoa, it will be a mistake!.

Mgombea wa UKAWA lazima ateuliwe kwa kuzingatia political dynamics na electability ya mgombea husika!, mfano baada ya 'yakhe' kukaa pale miaka 10!, kuna watu ukiwaletea 'yakhe' mwingine!, no matter how good he/she is, watampiga chini right away!.

Dr. Slaa was good ile 2010, is he still good for 2015?, anachagulika?, CCM ikimsimamisha yule 'jamaa yangu', Dr. Slaa ana chances za kufurukuta?!, vigezo kama hivyo vikizingatiwa UKAWA watamtafuta sio tuu mgombea bora, bali mgombea muafaka!.

Ningemshauri Lipumba aanze kuufikiria na ubunge, urais alishindwa, akashindwa, akashindwa tena na tena!, akisimamisha 2015, utashindwa tuu!.

UKAWA lazima ichague the winning team, na sio the losers ikitegemea kushinda!.

Pasco

Kupatikana kwa mgombea mmoja wa urais tiketi ya UKAWA, ndio the biggest test ya UKAWA!. CUF wao wana wagombea wao wa kudumu, huu uchaguzi wa 2015, utakuwa ni mwaka wa 20!, watu bwale wale!, ili wakubali kubadilisha much sacrifices lazima zifanyikie sio tuu kwa ajili ya kushinguzi, bali kupata win win situation kwamba sio kila chama kitapata nini, bali vyama vikubali ku loose ili kwa togetherness they'll win!. Akisimama Dr, wale ma fundamentalists wa CUF watajiona Chadema ndio imeshinda!. Kwa maoni yangu, very honest opinion, kwa viongozi hawa wa vyama vinavyounda UKAWA, bado havina mgombea urais wa kuwaingiza ikulu 2015!.

Pasco

Mkuu Joka Kuu, nakubaliana na wewe, hapa serious head hunting, lobbying na advocacy inatakiwa sana kumpata the right candidate na akakubali!, the best option ni CCM wamtose yule 'jamaa yangu' na UKAWA wamchukue, CCM itapigwa chini kama kumsukuma mlevi vile!, UKAWA wataingia ikulu kama kuingia choo cha mlango wa gunia!.
Ila pia lazima tuambiane, ikiwa CCM itamsimamisha 'yule jamaa', then, whoever atakayesimamishwa, ni kujifurahisha tuu!.

Pasco

Nfanya tuu tafakuri, niliwahi kusema nini, na ni nini kinataka kutokea!.

Pasco
 
Lakini ndugu yangu huyo jamaa Ukawa wanajua ni kete nzuri lakini hawawezi kuitumia kwa sababu walizozieleza za kwamba kete ilochafuka saana,hata mi naunga mkono,kwani hata huko Ccm hakuna mtu msafi na mzuri zaidi ya huyu mtu au hata kutoka nje ya vyama na akasimama watu wakamuunga mkono na ushindi ukapatikana Pasco?
Nayatafakari haya!.

Pasco
 
CCM ikimsimamisha yule 'jamaa yangu', Dr. Slaa ana chances za kufurukuta?!,
UKAWA lazima ichague the winning team, na sio the losers ikitegemea kushinda!.
Pasco
Haya maneno ya ukweli Pasco,lakini huoni kama inatakiwa asimamishwe mgombea ambaye anakubalika na watu wengi zaid na kwa analysis ya harakaharaka namuon ni Dr.Slaa,kwa sababu huyu atahitaji kuungwa mkono tu na vyama vingine hasa CUF kwa sababu ya yale mambo ya udini,ila wakileta mtu mwingine ambaye hatokei Chadema itawagharimu sana Ukawa.
Kupatikana kwa mgombea mmoja wa urais tiketi ya UKAWA, ndio the biggest test ya UKAWA!. CUF wao wana wagombea wao wa kudumu, huu uchaguzi wa 2015, utakuwa ni mwaka wa 20!, watu bwale wale!, ili wakubali kubadilisha much sacrifices lazima zifanyikie sio tuu kwa ajili ya kushinguzi, bali kupata win win situation kwamba sio kila chama kitapata nini, bali vyama vikubali ku loose ili kwa togetherness they'll win!. Akisimama Dr, wale ma fundamentalists wa CUF watajiona Chadema ndio imeshinda!. Kwa maoni yangu, very honest opinion, kwa viongozi hawa wa vyama vinavyounda UKAWA, bado havina mgombea urais wa kuwaingiza ikulu 2015!.
Pasco
..nimemsikiliza Ismail Jussa anasema Ukawa wanaweza kutafuta mtu wa nje atakayewaunganisha wote!!

..Jussa anasema wananchi wana imani kubwa sana na Ukawa kiasi kwamba mtu yeyote yule atakayekwenda kinyume na umoja huo atakuwa amejimaliza kisiasa.

..kwa upande wangu nadhani huu muungano unajibu mapungufu ya CDM na CUF, kwasababu vyama hivi viko upande mmoja wa muungano wa Tanzania. Walivyounganisha nguvu ndiyo watapata a balanced ticket ktk nafasi ya Raisi na Makamu wa Raisi.

cc Kafman
Mkuu Joka Kuu, nakubaliana na wewe, hapa serious head hunting, lobbying na advocacy inatakiwa sana kumpata the right candidate na akakubali!, the best option ni CCM wamtose yule 'jamaa yangu' na UKAWA wamchukue, CCM itapigwa chini kama kumsukuma mlevi vile!, UKAWA wataingia ikulu kama kuingia choo cha mlango wa gunia!.
Ila pia lazima tuambiane, ikiwa CCM itamsimamisha 'yule jamaa', then, whoever atakayesimamishwa, ni kujifurahisha tuu!.

Pasco
Tatizo ni kwamba, ccm nao wapo makini. Wanajua kuwa, wakimtupa tu tayari anadondokea kwenye kapu la UKAWA na hapo ndo kuipoteza Ikulu moja kwa moja.
Sasa, laiti mambo yangegeuka mapema tu, jamaa akaamua kujitosa UKAWA, mkaona jinsi maccm yangelichanganyikiwa.
Mwaka huu, lazima mtu azimie kwa mbio hizi, kijiti kinaelea hewani, hata ccm hawajiamini ka zama zile. Watu wamefunguka, ndo maana kumtaja mgombea labda itakuwa siku 1 kabla ya kampeini
Hutaamini macho yako huyu jamaa yako atakapotupwa nje na wala hutamwona akichukuliwa na UKAWA. Hivi kama wenyewe hawamtaki ni kigezo gani ukawa watakitumia kumchukua na watatumia dodoki gani kumsafisha ili akubalike.kama ukawa watafanya unayoyasema wewe huo ndo utakuwa mwisho wao na ccm watakuwa wameua upinzani kwa ulaini na ukawa hawatakuja kurejea tena kwenye siasa za nchi hii!

Watanzania siyo wajinga na ukawa wanajua hawawezi kujaribu ujinga huu utawagaharimu maisha yao yote. Kama ni technique ccm inataka kuitumia kuua upinzani kwa ulaini basi ukawa waingie huu mkenge mark my word watu hawatawaamini tena wapinzani na hawatakaa wapige kura tena na ccm watakuwa wanarudi madarakani bila upinzani wowote.

Huyo jamaa yako safari yake ni ngumu njia imejaa mbigiri na yuko pekupeku! Kuleni hela zake lakini mjue mnaweza kusababisha mambo ya komba huko mbele!
Kama atapatikana mgombea wa urais atakayeweza kukubalika na WanaCUF na WanaCHADEMA kwa urahisi basi kazi ya kuifurusha CCM madarakani itakuwa rahisi kama kuvunja biskuti kwa meno. Mgombea wa urais wa UKAWA licha ya kuwa na sifa stahiki za kuongoza ofisi kubwa kama ya urais lakini pia aweze kukubalika na Watanzania wa imani tofauti tofauti hasa miongoni mwa wafuasi wa imani kubwa mbili hapa Tanzania, za Wakristu na Waislamu.

Mgombea wa urais atakayeweza kuzileta imani hizi mbili pamoja dhidi ya adui mmoja ambaye ni CCM. UKAWA (CHADEMA, CUF,NCCR-Mageuzi na NLD) tunaamini busara yenu katika kutuletea mgombea sahihi wa urais atakayeweza kuing'oa CCM madarakani
Fafakuri inaendelea!.
Pasco
 
Mkuu Joka Kuu, nakubaliana na wewe, hapa serious head hunting, lobbying na advocacy inatakiwa sana kumpata the right candidate na akakubali!, the best option ni CCM wamtose yule 'jamaa yangu' na UKAWA wamchukue, CCM itapigwa chini kama kumsukuma mlevi vile!, UKAWA wataingia ikulu kama kuingia choo cha mlango wa gunia!.
Ila pia lazima tuambiane, ikiwa CCM itamsimamisha 'yule jamaa', then, whoever atakayesimamishwa, ni kujifurahisha tuu!.

Pasco
Hutaamini macho yako huyu jamaa yako atakapotupwa nje na wala hutamwona akichukuliwa na UKAWA. Hivi kama wenyewe hawamtaki ni kigezo gani ukawa watakitumia kumchukua na watatumia dodoki gani kumsafisha ili akubalike.kama ukawa watafanya unayoyasema wewe huo ndo utakuwa mwisho wao na ccm watakuwa wameua upinzani kwa ulaini na ukawa hawatakuja kurejea tena kwenye siasa za nchi hii!

Watanzania siyo wajinga na ukawa wanajua hawawezi kujaribu ujinga huu utawagaharimu maisha yao yote. Kama ni technique ccm inataka kuitumia kuua upinzani kwa ulaini basi ukawa waingie huu mkenge mark my word watu hawatawaamini tena wapinzani na hawatakaa wapige kura tena na ccm watakuwa wanarudi madarakani bila upinzani wowote.

Huyo jamaa yako safari yake ni ngumu njia imejaa mbigiri na yuko pekupeku! Kuleni hela zake lakini mjue mnaweza kusababisha mambo ya komba huko mbele!

Mkuu Ngonini, unaikumbuka hii hoja?.
Pasco
 
Mkuu JokaKuu, nakubaliana na wewe, hapa serious head hunting, lobbying na advocacy inatakiwa sana kumpata the right candidate na akakubali!, the best option ni CCM wamtose yule 'jamaa yangu' na UKAWA wamchukue, CCM itapigwa chini kama kumsukuma mlevi vile!, UKAWA wataingia ikulu kama kuingia choo cha mlango wa gunia!.
Pasco
Haya niliyaleta humu 8th March 2015 20:29, leo zikiwa zimebaki 15 days, nayaleta tena vile vile bila kubadili chochote!.
CCM itapigwa chini kama kumsukuma mlevi vile!, UKAWA wataingia ikulu kama kuingia choo cha mlango wa gunia!.
Pasco

Haya niliyae 8th March 2015 20:29, leo zikia ziebaki 15 day, nayaea tena vile vile bila kubadili chochote!.
CCM itapigwa chini kama kumsukuma mlevi vile!, UKAWA wataingia ikulu kama kuingia choo cha mlango wa gunia!.
Pasco

Taasisi itakubali kushindwa?
 
Pasco we kweli mtabili na hicho ndio chaonekana CCM wanaisha mwaka huu, nitapiga kura yangu bila kinyongo kwa Lowasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom