Kuelekea 2015: Kiongozi UVCCM awataka vijana wavute bangi wawe kama wendawazimu...

Nadhani hii pia ni relevant kwa CUF: Religion is an opium of the mind....CARL MAX
 
Nawaunga mkono hizo wasisahau kumix na petrol,wakishindwa watafute hata gundi ya patex inasaidia sana kuondoa fahamu.
 
Kiongozi shupavu hawezi kutumia mabavu kuongoza, ni kiongozi dhaifu tu ndio atatumia mabavu kuficha udhaifu wake - Jenerali Ulimwengu
 
Wakisha vuta bangi nyingi na kujivua ufahamu wakishutka kutoka kwenye hang over zao za kibangibangi wanakuta watu wako uwanja wa taifa wanakula keki ya M4C
Yani watatamani wageuke kuwa watoto wachanga ili wasijue kinachoendelea.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wakisha vuta bangi nyingi na kujivua ufahamu wakishutka kutoka kwenye hang over zao za kibangibangi wanakuta watu wako uwanja wa taifa wanakula keki ya M4C

Mkuu naimani umesikia vyombo vya mataifa makubwa kusikitishwa kwao na hali ya Utumiaji Unga Hapa zanzibar ,wale vijana wanakuwa breed kwa shuhuli malum na ndio mana kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya,ni mtaji ,wacha nikukumbushe Mzee wenu mmoja aliwahi kuwa waziri Mkuu ,alisibutu katika mkutano wake wa hadhara kuwambia Vijana pale Tanga wakati ule Rais wa Zanzibar alikuwa ni Salim Amour,vijana wa Tanga nendeni Zanzibar mkafanye fujokatika uchaguzi kule na serekali itakulindeni na vijana wa Tanga walitika wito huo, walifanya madhara mengi tulimuomba Mola dua moja tu itakapofika siku ya mwisho wa Uhai wake amteremshie kifo kibaya na kitakachokuwa na masikitiko katika kila pembe ya Dunia.na hilo sasa limesha ingia mrima huko 2015 tutashuhudia mauwaji ya mengi na makubwa hapa Tanzania na kama sio halaiki dalili ya mvuwa ni mawingu
 
Back
Top Bottom