Kuchepuka raha

No espy ain't mean hvyo..yani si kitu kzuri kwa mwanandoa yeyote kufanya hii kitu ya kuchepuka au kumwona mwezie kma mtu mdhaifu au mdgo sana wakati the time ulivyokutana nae ulikuwa humble...OK espy hivi huyu dada anavyochepuka instead of kukaa chini na kujarbu n jinsi gani ya kuweza kunsuru hii ndoa yao inayoyumba hivi kweli kuna kitu kitasaidka hapo...yani bora akajarbu kutafuta njia ya kumbadlsha huyu jamaa
Yaani ndio kahangaika weeeeh dume limekuwa gume gume, limeshindikanaaa, mtoto wa watu kajikuta kidogo achizike kwa ugwadu. Si ndio akagundua njia nzuri na maridhawa kabisaa ya kuimarisha ndoa na kujipa amani ya nafsi kwa kupata kipoozeo na yeye. Si unaona sasa hivi hawana ugomvi tena.
Hiyo ndio dawa,au akishindwa hiyo basi kuna nyingine ile ya kumtia mumewe kiberiti tu.
 
Mwanamke hayo unayo yasema lazima yatakuwa yana toka moyoni kwa mwanamke mwenye roho ya uzinzi ndani yake...ndiyo maneno yako yana mkosoa Mungu pale aliposema ndoa na iheshimiwe na watu wote.....maandiko matakatifu yanasema " mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake bali mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"

Sijui kama uwehi kuwaza athali utakazo pata kwa uamuzi wako huo wa kipepo...

Umeamua kutenda jambo litakalo angamiza nafsi yako mwenyewe... Kumbuka kuna maisha baada ya maisha haya.
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote".

Kama watu wote ni wanawake tu basi sawa.
 
Mleta mada unaonekana una asili ya umalaya tu. Mwanamke asiye malaya hawezi kujiingiza kwenye umalaya au uzinzi eti kwa sababu mume wake kafanya. Kinachonekana ni kwamba baada ya kuolewa ulitulia tu pengine kwa hofu kwamba jamii itakuonaje au kwa vile uliogopa kuachika. Lakini waswahili wanasema jasiri haachi asili na ndio maana uliamua kutafuta kila sababu ya kukurudisha kwenye asili yako. Kama mumeo ni malaya hata wewe alikupata kwenye anga za umalaya. Kwa hiyo usitumie umalaya wa mumeo kama kisingizio cha wewe kuwa malaya. Kwanza hata siku moja hujamfumania mumeo wala kuwa na ushahidi kuwa amechepuka. Ila endelea kugongwa tu nje. Ongeza hata wafike ishirini matokeo utayaona baadae. Kamwe mwanamke usishindane umalaya na mwanamume kwa kuwa yeye ameumbwa kutoa huduma hiyo masaa 24. Hana siku za hedhi wala kubeba mimba. Mungu hakuwa mjinga aliyeweka maumbile ya wanawake kuwa tofauti na wanaume. Shame on you.
 
Ni kweli ngabu, lakini unajua hata wale wachache ambao bado wapo innocent wakisoma jinsi wenzao wanavyohalalisha michepuko, nao wanashawishika kujaribu. Bado kuna wanawake waaminifu, japo idadi inapungua kila siku.
Hahahaaa!! Jirani usiogope, wako hawezi kukengeuka bwana.
 
shukuru Mungu wako sijakuoa mimi huo mdomo ningeuweka super glue.


sio na jipa moyo najiamini maisha yangu huyajui wewe Mrs bogasi.


sijui mnawapata wapi wanaume wa hivyoo kuwaendesha na kushindana
Tunawapata hukohuko uliko wewe.
Kujiamni nako muhimu ujue, hii inmsaidia wife kuwa huru zaidi. Safi sana.
 
We mchungaji wa wapi? unavyosema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe hizo ndoa zinazovunjika kila siku ni mwanamke amevunja? Angalia source ya tatizo ni nini
Sijasema Mimi hivyo hayo ni maandiko acha ubishi badiri tabia
 
hahahahahhahahhHHH huu muda amekaa na anabishana na sisi tuko kama sita tunapokezana !
yeye peke yake manake ameshinda humu!

kama ni simu sijui muda gani kamtakia hata hali mkewe!
yet anajipa moyo HACHEPUKI,sijui mimi mwanamke hanifanyii huu ujinga!
AHAHAHAHHAHAA hakyanani!
Hawa wa hivi ndio wanapigiwa hadi na mahouse boy humohumo ndani na hana habari.
 
Ni muhimu kukumbuka kuwa kila jambo lina mwisho, na mwisho wa jambo moja ni mwanzo wa jambo lingine. Mwisho wa wewe kuwa duniani ni mwanzo wa wewe kuonana uso kwa uso na Mungu anayekuona na asiyependa unayoyafanya.
Hivi huyu Mungu huonana na wanawake tu!! Basi sawa kama ndio hivyo.
 
NIKWAMBIE KITU!
KWA AINA HII YA KIBURI AND MIGHTY!


mkeo ANAFIKIRIA,ANAFANYA ZAIDI YA HAYA!



jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.

ndo maana nawaambia mmezoea wanaume mabogasi

kama umezoea kushusha chupi hovyo sio kila mwanaume unaweza kumfanyia hivyo.
 
Back
Top Bottom