Kuchelewa kufika kazini

saidhafidh

Senior Member
Apr 10, 2013
119
7
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, naomba ufafaniz juu hili.
Kuna rafiki yangu shulen kwao alikuja afisa elimu na kupiga mstri mwekwend kweny daftar la mahudhurio la walimu muda wa7:28asubuh na kumuagiza mkuu wa shule awambie wale wote waliokuja baada yake waandike barua ya maelezo kwa nini wamechelewa kazini. Maswali yangu ni kam ifuavyo.
-jee ni upi muda sahihi wa mwalimu kuisabika km amechelewa kazini?
-Jee ni kuchelewa kwa kipindi na muda gani kisheria mwalim atatakiwa kuanza kuchukuliwa hatu.
- Jee kukataa kuandika barua ya maelezo ni kosa kisheria
Ufafanuz zaid naomba juu hili jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mstari wa bluu unapigwa saa moja na nusu (7:30) na mwekundu ni 7:45.muda wa kuja kazini ni saa 7:00-7:30.
 
Maafisa elimu ni miungu watu siku hizi. Yupo mmoja juzi kasema standing order haifanyi kazi nilinyamaza tu
 
Back
Top Bottom