INAUZWA Kubota inauzwa, ipo Morogoro

rupia family

Member
Dec 8, 2023
8
0
Knauzwa milioni 18 maongezi yapo, ipo Morogoro mjini, Kilakala.

Mawasiliano: 0627518825. Imetumika misimu miwili.

IMG-20231207-WA0073.jpg

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Kubota ya miliyoni 18 ina nini mkuu? Minyororo tu labda!!! Misimu miwili,wakulima huko wammekosa pesa waichukue,kwa dalali ikashindikana,leo hii mtandaoni.

Sema kama unahitaji fundi nikuunganishe.
 
Sijui yoyote mkuu😀. Ndo nilitaka kuiijua leo.
Ni kitu gani kwani?
Kubota ni brand ya Kijapani ya zana za kilimo hususani trekta na zana nyingine.

Hapa watu wengi wanashangaa kwa sababu wahenga wengi wanafahamu kwamba Kubota ni trekta pekee ila pichani hawaoni trekta.

Halafu wale ambao siyo wahenga kama wewe hawajui chochote kuhusu Kubota
 
Kubota ni brand ya zana za kilimo hususani trekta na zana nyingine.

Hapa watu wengi wanashangaa kwa sababu wahenga wengi wanafahamu kwamba Kubota ni trekta pekee ila pichani hawaoni trekta.

Halafu wale ambao siyo wahenga hawajui chochote
Okay.
Kwahiyo hilo.hapo lina uwezo wa kulima? Linafungwa kwenye trekta?
 
Okay.
Kwahiyo hilo.hapo lina uwezo wa kulima? Linafungwa kwenye trekta?
Zana ya kuvunia mpunga au ngano. Bei yake ikiwa mpya ni kama m70 hadi 90 kwa Tanzania.

Na hizi za kichina zinachoka haraka sana, ukitumia miaka 3 hadi 4 utamjua kila fundi baada ya miaka hiyo.

Ila inalipa sana ukiwa nayo
 
Nashukuru kwa elimu.
 
Kama ni KUBOTA la kichina basi hakuna kitu hapo,langu la kichina lipo stoo linapigwa na vumbi tu,nililipeleka kwa mafundi mpaka mwenyewe nikawa fundi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom