Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,278
- 2,041
Wadau nawasabahi.Mada yangu inajieleza hapo juu. Ili kupunguza Msongamano na foleni kubwa za magari jijini njia pekee yakuwafanya wenye Magari binafsi kuacha kuyatumia kuingia jijini na badala yake kutumia Mabus ya Mwendokasi ni
1.Kuongeza Ushuru wa PARKING na
2. KUBORESHA Mabus hayo kwa kuyapanga kwa makundi .Kuwe na Mabus ya first class Second na Third na NAULI zake ziwe tofauti kulingana na class yake.Pia Mabus ya Furst na Second class iwe marufuku kwa ABIRIA kubeba mizigo yoyote zaidi ya BEGI dogo la mkononi.Pia UJAZO wa Abiria iwe level seat na yawe ya EXPRESS kwa asubuhi tu jioni yawe ya kawaida na NAULI yake iwe KUBWA.
Mabus ya kundi la 3 yaani ya Third class haya yawe na Nauli ya sasa na ujazo mkubwa kidogo wa Abiria na yasimame kila kituo na yawe mengi kwani Abiria wa Third class ni wengi sana.Endapo huu utaratibu utafanyika ni wazi Wenye Magari binafsi Watapanda Mabus ya Mwendokasi na watakuwa na uhakika wa KUWAHI ktk Shughuli zao na pia Wataogopa kulipa Gharama za PARKING kwani zitakuwa ni kubwa.Utaratibu huu upo duniani kote kuingia na gari Mijini ni Gharama sana ni hiyo gharama ndio inawafanya wenye Magari binafsi waache kuingia mijini na Magari yao na KUPANDA Mabus ya UMMA.