Kubet: Timu gani itachukua ubingwa England?

Wacheni maneno........Ngurumo yake hakuna asiyefahamu , mwamkana hadharani japo mioyoni mwaufahamu wake uwezo... SIMBA bingwa msimu huu jamani.....kombe hilo mitaa ya Msimbazi.

kwa Uingereza....jogoo lilodharauliwa sasa linaurudia ubingwa wake nani kama LIVERPOOL.....you'll never walk alone

Kuweni makini niliwaambia......
 
Simba
 
Back
Top Bottom