Kubenea: Tundu Lissu amesema anawajua kwa sura waliompiga risasi

Risasi 25 mlango wa nyuma? Naomba mwenye ile picha ya gari atuwekee. Hatari.
47fcb7ecbbeb82afac21f8cee444d0bb.jpg
 
Kila mtu msemaji wa Lissu, si tuliambiwa Lissu katamka maneno kumi na mbili tu...sasa hayo Kubenea umeyatoa wapi....
Ujambi umetoka na jivi, usirudie kujikamua ukidhani unajamba.

Harufu ishakuwa mbaya.
 
Awa waropokaji wanaokatisha tamaa wapambanaji wa raslimali za nchi dawa yao ishajulikana mwendo ni huu huu watu msiojulikana mpaka waache kutumika na mabepari.
jitambue wewe! Kumbe nia na lengo lenu ni kuwaeliminate wanaowakatisha tamaa wapambanaji wa rasilimali za nchi ili waache kutumika na mabepari?
Sasa mtakalia wapi mkiambiwa mnahusika?
Hivi polisi haiwaoni hawa watu humu ili wakawasaidie kuwaelezea huu mpango wa kuwamaliza kina Lissu?
Na ni nani mpambanaji kati ya yule aliyeanza miaka ya 90 na huyu wa 2017? Au hii sanaa ya kwenda kuchukua almasi mwadui na kuja kuificha jna na baadae kualikana na kututangazia kuitaifisha ili hali ni ya share kati yenu na ile kampuni ndio upambanaji huo? Mtawadanganya wasiojitambua na sio wengine!
 
Nadhan kuna haja ya kukaa kimya pind ndugu Lissu akiwa anapatiwa matibabu,hz kauli zinawaza poteza mwelekeo sahihi wa upelelez na kuwa fanya maadui zake watafute mbinu mpya ya kummaliza ndg yetu! God bless Lissu!
 
Nilitegemea yote yaliyotokea kuhusu shambulio basi muhusika ambaye ni Tundu Lissu atakuja kuongea mwenyewe may be kabla ya kuhojiwa na Polisi au hata baada ya kuhojiwa na Polisi maana yeye na Driver wake ndiyo main characters wa tukio hili.

Sasa kwa kuanza kusikia tena kutoka kwa Mh Sued Kubenea kusema Mh Tundu Lissu anawajua kwa sura na walimfuatilia toka Tegeta mpaka Dodoma ameyatoa wapi wakati Lissu Ndo kwanza ameongea Jana maneno 12.

Hii ongea ongea ndiyo huwa inaharibu hata ushahidi wa kweli wa tukio na sidhani kama Kubenea ametumwa na Tundu Lissu kuongea hayo.

Tuviache vyombo vya Dola vifanye kazi yake na kama una ushahidi wowote wa tukio basi hima upeleke Polisi ili usaidie kuwapata hao wahalifu.
 
siti ya nyuma mlango wake una matundu kadhaa ya risasi

nahisi ujumbe umepokelewa vibaya ila naona matundu hapo mlango huo wa nyuma kwenye siti ya abiria

!Yves V!
Nimeyaona matundu kadhaa lakini habari hii inasema matundu 25!
 
Nilitegemea yote yaliyotokea kuhusu shambulio basi muhusika ambaye ni Tundu Lissu atakuja kuongea mwenyewe may be kabla ya kuhojiwa na Polisi au hata baada ya kuhojiwa na Polisi maana yeye na Driver wake ndiyo main characters wa tukio hili.

Sasa kwa kuanza kusikia tena kutoka kwa Mh Sued Kubenea kusema Mh Tundu Lissu anawajua kwa sura na walimfuatilia toka Tegeta mpaka Dodoma ameyatoa wapi wakati Lissu Ndo kwanza ameongea Jana maneno 12.

Hii ongea ongea ndiyo huwa inaharibu hata ushahidi wa kweli wa tukio na sidhani kama Kubenea ametumwa na Tundu Lissu kuongea hayo.

Tuviache vyombo vya Dola vifanye kazi yake na kama una ushahidi wowote wa tukio basi hima upeleke Polisi ili usaidie kuwapata hao wahalifu.
labda lisu kesha waambia
 
Sasa kama ndohivyo kumbe ni kazi rahisi kuwapata hawa watu wasiofahamika kuna haja gani ya kuweka conditions kuwa kama police wakiwakamata basi lissu atawajua akati anawafahamu waliomshambulia mimi ningependa hili swala lisichukuliwe kisiasa sababu kulichukulia kisiasa basi mwisho wake siyo mzuri kwahyo lissu kama anawajua awaweke hadharani ili police wakawakamate tuuu maana mim mwananchi wa kawaida nina hamu sana ya kujua ni nani aliyenda huu unyama kwa lissu pengine huenda ikawa mwanzo mzuri wa kumpa ben saanane
afanye mara ngapi>???lissu si alishawataja na hadi namba za gari aliwatajia....hilo gari au mmiliki wake mmeshawahi kumtafuta??? danganyeni wajinga tu..Damu ya lisu haipotei bure
 
Ina maana kesho yaisha mapema kabisa, kumbe watuhumiwa wanajulikana na Mh Lissu anawajuwa kwa sura?!
 
Back
Top Bottom