Kubali au Kataa hili:-

Unajitahidi sana kunikwepa eti eeh?
But refar the floor'race destine will be ....?
Nway za umeamkaje ?

Mie sijakukwepa judgement, we ungetilia maanani siku ile nilivokwambieni tukutane..........kama nisinge appear ndo ungenilaumu!!

BTW, mi sijambo kabisa!
Vipi hali yako??

Alafu hapo blue hebu nidadavulie basi.....
 
mmmmh inaonekana kwa kipindi hiki nilichokua off kuna majanga yametokea hapa jf chitchat eeeeh mana mara naona wengine wanaambiana wanakwepana, mara mwingine jembe mara mpin wat is happening hapa mbona majangaaa.

Be calmy! Ma'wife! Ukiona vimetiririshwa hapa kwa public hua havina impact more!
Hawa akina Kipipi, King'asti watani wangu kitamboje! Wazoee kiivo!
Na pia sometyms washauri wangu wasikupokonye usingizi !
Sawasawa ?
 
Mie sijakukwepa judgement, we ungetilia maanani siku ile nilivokwambieni tukutane..........kama nisinge appear ndo ungenilaumu!!

BTW, mi sijambo kabisa!
Vipi hali yako??

Alafu hapo blue hebu nidadavulie basi.....

Haa haa ! Kimodo mambo ?
Ni kweli wakati Erick52 amekuja Mwz hukuweka open ratibazo!
Nway hiyo agenda ishaachwa na wakati !
Tutajipanga dayz forwd!
Hapo kwenye blue ni nilikua nakujaza presha tu , kwani leo nimekua mgeni kwa miondoko hiyo ?
Naona mama chanja ana efbiai ! Pasipo!
Btw nishamfahamisha uhalisia, na kwakua ni muelewa sina nae shaka ataelewa!
 
Sawa bana ila sijui ni lini nitakuwepo tena..........labda mpaka msimu wa kulima upite!

Duh...mama watoto wako ni nooooma!!
Hivi tukikualika maeneo uje peke yako....utakuja kweli wewe au ndo tutaambulia chongo tu??? manaake mmmmmhhh???????
 
Sawa bana ila sijui ni lini nitakuwepo tena..........labda mpaka msimu wa kulima upite!

Duh...mama watoto wako ni nooooma!!
Hivi tukikualika maeneo uje peke yako....utakuja kweli wewe au ndo tutaambulia chongo tu??? manaake mmmmmhhh??????
?
Wa kulima wewe? Sina hakika kama kilimo kinapatikana!
O/wise mama chanja nadhani may b ki'zaigot kichanga hua kinakuja kinamna labda!
Coz two moons NASA haja'attend !
Wala hana tabu.
 
Wa kulima wewe? Sina hakika kama kilimo kinapatikana!
O/wise mama chanja nadhani may b ki'zaigot kichanga hua kinakuja kinamna labda!
Coz two moons NASA haja'attend !
Wala hana tabu.

Sasa kumbe nani tu ndo anafaa kulima??
We kama mkeo halimi basi mie nalima!! Mtoto wa mkulima mimi jembe nalishika vizuri saana.
Huna ajira/ujuzi utakaa tu ule nini?? Malimao????
Ilihali umekuzwa na jembe..........unan'shangaza!!

hahahahaaaaa
kumbe ni kazygote ndo kanaleta makashkash!!
Basi poa....
 
Si ningekuona maisha plus ?
Mama shujaa la msosi ?
 
Bora umesema unajaribu. Zigo lenyewe hilo la misumari wifi yangu, huna wa kukupokea. Mashangilio yote siku ile unaolewa tulikuwa relieved manake tulijua kadoda. Mwenetu anaendeleaje? Ntakuletea miwa wifi, kesho.

Yaani wewe na Nasty mnaniita mie "mzigo" ? Ntamiundieni tume mjue! Au ntakeni razi kabla ya!
 
Na ungejuaje kama ndo mimi??
BTW, kila mtu na nafasi yake.....sio lazima wote tuonekane sehemu moja!!

I' am advanced intelegent enough ujue !
Then for several skills dealin with investigation !
Either am fully accredited and well experienced senior detective with specific matters !
Ungekuapo ningekustukia ! Na ingekua ndiyo lazima nikujue!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom