Kubadilisha jina la serikali ya mapinduzi zanzibar ruhsa-aboubakar

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=2][/h]Waziri wa katiba na sheria Zanzibar Abubakar Khamis Bakar amesema jukumu la kuliondoa jina la serikali ya Mapinduzi na kuliweka Jamhuri ya watu waZanzibarlinaweza kufanyika kupitia kwa wananchi.
Waziri Bakar ametoa ufafunzi huo katika baraza la wawakilishi wakati akijibu suala la mwakilishi wa mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu alietaka kujua chombo kilichofuta jina la Jamhuri ya watu waZanzibarna kuliweka jina la serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri huyo amesema jina la Jamhuri lilikuwa likitumika katika sheria ya katiba yaZanzibarnamba 5, ya mwaka 1964, lakini baada ya kufanyika muungano waTanganyikanaZanzibarApril 26 1964 na kundwa Jamhuri ya MuunganoTanzaniajinahilolilifutika kutokana na sheria za katiba zilizotumika.
Hata hivyo amesema kwa vile jina la Jamhuri ya watu wa Zanzibar halikufutwa kisheria ni rahisi kulirejesha tena pale endapo wazanzibari watataka kulirejesha
 
Wanahisi Watanganyika mnawakoloni Wazanzibar. Wapeni uhuru wao wafanye watavyo.
Huyo Jussa ana hamu kweli waarabu ndugu zake warudi hapo tena.
 
Wanahisi Watanganyika mnawakoloni Wazanzibar. Wapeni uhuru wao wafanye watavyo.
Huyo Jussa ana hamu kweli waarabu ndugu zake warudi hapo tena.

Toa hoja madhubuti uctuwekeee uharo wa bata hapa, alah!!!!!! Weee kilaza sana.

Wazanzibari waislam wacha wawapende waarab kwani Mtume wetu Muhammad (swalla-llahu-alayhi-wasallam) alikuwa Muarabu, wacha ujinga wako mpumbavu wee!!

Zanzibari Kwanza muungano baadae.
 
Mimi nilidhani Muhammad alikuwa Myahudi, no?
 
Back
Top Bottom