Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Watu wengi ni maskini , hawana pesa kwasababu wamekosa ubunifu au mbinu za kubadili knowledge kuwa pesa. Wengi wenye ujuzi (skills) wana pesa.
Unakuta mtu vyeti vyake kuanzia form 4, 6 hadi Chuo Kikuu vina A+ za kutosha. Amefaulu kweli kweli kwenye makarasi! Akiingia mtaani maisha yanamtwanga na A zake za kwenye makaratasi.
Unakuta mtu ana Car Wash , Workshop ya kuchomelea, kuranda mbao, anasaga na kukoboa mahindi ana pesa nzuri na maisha yake yapo safi kabisa.
Ukiweza kuutegua mtego wa kubadili knowledge kuwa pesa, umetoka ndugu yangu.