KUB tekeleza hii ahadi yako kwa watanzania!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Nashangaa sana tena sana kuona hawa mashabiki wa Ukaawa wanavyokubali kugeuzwa mawazo yao mithili ya chapati iliyowekwa kwenye chuma cha moto.

Yaani leo wanaletewa hili kesho wanaletewa lile ....halafu wao hata hawaulizi wala kukumbushia na ndio maana walipachikwa lile jina la wanyama Nyumbu.

Mwezi wa Tano KUB aliwaahidi Nyumbuz kuwa atawataja wanaohujumu uchumi hata kama wamo ndani ya Chadema ...miezi takriban minne baadaye anajidai mkaali na vitakwimu feki vya hali ya uchumi....

Kwa niaba ya Nyumbu namuuliza KUB kuhusu hii ahadi ya kututajia wahujumu uchumi ...kama kweli yeye ni mzalendo aliyekuwa na orodha ya wahujumu uchumi na leo hii ameleta data za kuanguka kwa uchumi basi atimize hii ahadi yake.


UKAWA kuwataja wahujumu uchumi bila kujali vyama
 
Badala ya kuishauri serikali yako iliyoshindwa kila kitu wewe na Mbowe tuu utadhani Mbowe ndio serikali ya nchi hii. Aibu kubwa bwe.ge wewe! Watu wamekufa na kuathirika na matetemeko huna habari, wewe kweli jingalao
 
ukiona wanamjadili ujue ndani ya ccm hakuna hata umulike kwa tochi mwenye uwezo wa mbowe. hii kichwa ni shida. ndiyo maana sauti yake moja tu imeyatoa majeshi yote ya ulinzi na usalama, vifaru, polisi wamefanya mazoezi mpaka wengine wakafa. Hii ni sauti ya mtu mmoja tu anaitwa kamanda mbowe
 
Badala ya kuishauri serikali yako iliyoshindwa kila kitu wewe na Mbowe tuu utadhani Mbowe ndio serikali ya nchi hii. Aibu kubwa bwe.ge wewe! Watu wamekufa na kuathirika na matetemeko huna habari, wewe kweli jingalao
Duh.! Tuwaombee binadamu wenzetu waliyopatwa Na maafa ya tetemeko.
 
Back
Top Bottom