Kuanguka kwa ndege ya pressicion Air ni sawa ni ile iliyoanguka Nepal: Kosa moja ambalo limegundulika kirubani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,613
8,749
Kwanza tuna wapa pole waliopoteza ndugu zao pamoja na wapendwa wao.

Ili jambo mpaka na liweka hapa kiufupi baada ya kukubali kuunganisha tukio la A na B kama litakuwa sawa kwenye maswala ya urubani na tukio lenyewe.

Kila aina ndege ina utaratibu wake na matumizi wakati wa kutumia ikifanya kazi kulingana na mazingira.

Jambo lilonipelekea kuanza kufatilia baada ya tukio lilotokea la pili kuanguka ndege ya Yeti Airlines Flight YT691 huko nchini nepal (15/01/2023).
huko nyuma kama tanzania tulipata pigo la kuangukiwa ndege iliyokuwa ikitoka Dar kwenda Bukoba.

Ndege hizi zote ni aina moja iliyopewa ATR 72 ikitengenezwa na nchi ya ufaransa na italy kupitia kampuni aircraft manufacturer ATR (French: Avions de transport régional or Italian: Aerei da Trasporto Regionale).

Kampuni hizi ni kubwa na zinatengeneza usafiri wa kuaminika ya ufaransa ndege ya AIRBUS.

Ndege Aina ATR 72 yenye injini mbili za turbo utumiwa sana katika huduma za usafiri sehemu ambazo korofi na ngumu kwa ndege zengine kufikika kama zakubeba abiria 72.

Nitaanza na kuanguka kwa ndege Nepel YT691.ndege ilitoka Kathmandu kwenda Pokhara ila kutokana na nchi yenyewe iliyojawa na milima mingi na hali ya hewa isiyokuwa nzuri kuweza ndege kutua kama ilivotarajia ilibidi kuzunguka ili kupata target ya kutua upande wa pili sio wa kwanza.wakati rubani akijalibu kuweka ndege sawa ndio ikaanguka na kuua abiria 72.

Je, tatizo ni nini?
Tatizo lilikuwa sio ndege tatizo jinsi ya kutumia injini yenyewe kwenye ufanyaji kazi endapo kuna mabadiliko ya hali ya hewa.

Ndege ATR 72 injini zake kwenye kuzungusha mapanga zinaweza kubadilika mfumo ulio kaa kulingana na kukabili hali ya hewa.
IMG_0909.jpg


Uwezo wake huu unaendeshwa na sehemu maalumu ambayo utumia unaitwa Flaps pichani.
IMG_0905.jpg


Tatizo lilopelekea mpaka ndege ujikuta kuanguka na rubani kutokuelewa ni pale anabodalisha flaps wakati injini ijabadilisha matumizi na kusabisha hatari ya ujumbe ambao yeye anaweza kujua gear ya injini kwenye utumiaji.

Tahadhari inapotoka wakati amekosea uonesha kuwa injini imezika ila hakuna ishara kuwa injini imezimika sababu inafanya kazi.
IMG_0906.jpg


Kufanya kazi kakwe upelekea ndege kuanza kupoteza nguvu wakati akitafuta kosa lipo wapi huku akiipa balance ya mabawa.
IMG_0904.jpg


Wakati anajaribu kuweka sawa lakini mizani ya usawa ndege bado inamuonesha ndege anaweza kuikabili huku ikitoa tahadahari kupitia
IMG_0907.jpg



Rubani akiwa anajitahidi kuweka sawa ili kutua na ndege ushindwa kumudu na ujikuta hipo chini.

Mashuuda wa waliopanda ndege ya Precession Air wanyewe wanaeleza kuwa ndege waliona ikiwa kwenye hali ya kawaida wakati wa kutua ila ikadondoka gafla.

Nimeandika kirahisi maana ni ngumu kutumia taaluma za watu
 
Hii ndio jamii forum tunayoitaka jamani watanzania!! Sio mada za kulinganisha maslahi ya mtumishi wa uma na bodaboda!!!

Mada kama hizi hata wachangia Huwa wachache Kwa kuwa wengi ni vilaza hutaka kuongelea maisha ya watu na sio issues!!!

Asante Kwa elimu!!unaonekana mjuzi wa aviation!! Nakuomba utuletee Uzi wa ndege iliyopitea ya Malaysia ya 14 March 2014 mpaka Leo !!!
 
Samahani sikusoma physics !! Hizi injin huzunguka clockwise au antclock wise!?
 
Samahani sikusoma physics !! Hizi injin huzunguka clockwise au antclock wise!?

hakuna sehemu ngumu kama inayosumbua marubani injini inapoleta tatizo au kutoa tahadhari.

inabidi kuangalia mongozo wa jinsi ya kusolve ndio maana ndege zote zina vitabu kama kutatokea tatizo.

ikitokea mda mfupi umeshindwa kulisolve ukatumia akili yako ni wachache sana au mda wa kushindwa ndege umepishana na wewe.
 
Back
Top Bottom