Kuangalia mpira na wanawake ni shiiidah

Maranzana

Senior Member
Sep 1, 2010
192
97
MKE NA MUME WAKIANGALIA MECHI YA ARSENAL NA CHELSEA:
WIFE: Baby, yule ni nani? Ni Chris
Brown??
HUSBAND: Yule ni Theo Walcott
WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?
HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red Card
inamaanisha mchezaji atoke inje ya uwanja.
WIFE: Oooooh! Inakaa kama traffic light!
Yellow- Ilani na Red - Simama
HUSBAND: Yeah yeah swity! Ndio hivyo.
WIFE: Na je Green Card??
HUSBAND: Aaaah! Hiyo haipo.
WIFE: Nataka Arsenal ishinde world cup.
HUSBAND: [kimya]
WIFE: Ni nani yule mzee anafanana na
Mr. Bean??
HUSBAND: Yeees swity, yule ni kocha wa
Arsenal, anaitwa Arsene Wenger.
WIFE: Oooooh! inamaanisha yule kocha
mwengine ni Chelsea Wenger??
HUSBAND: [Kabadilisha channel]
 
Umenikumbusha lile tangazo la Coca Cola katika World Cup

Binti: We Won!! We Won!! We Won!!
Njemba: But it's only half time?!
Binti: Ooooooh.. [huku akiona aibu kinoma noma]
 
Umenikumbusha lile tangazo la Coca Cola katika World Cup

Binti: We Won!! We Won!! We Won!!
Njemba: But it's only half time?!
Binti: Ooooooh.. [huku akiona aibu kinoma noma]

Alafu wale wengine wanashangilia six pack badala ya mpira
 
Yaaani nimechekaaaaa..hasa hiyo ya kufanana na mr bean..hahahaa mazafantaaaaa kweli huyo waifu
 
Hahahaha!! Hii kali siyo wote wengine ndo tunawafundisha wanaume mpira....Btw ngoja niwaite wenye timu yao watie neno BAK utafiti adolay Wacha1 na wengine njooni muone huku watu wana utani na Wenger wenu....
 
Last edited by a moderator:
Hili pambio la watan wetu, wanazidi kutubambikia udhaifu mpaka kwenye manyumba yetu.

everlenk Asernal tuko wavumilivu kama watanzania wanavyoivumilia ccm na mafisadi wake.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom