Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

huna akili Urusi angekua dhaifu hao nato wangekua washaingia hadi moscow sahiv
Ukraine peke yake sasa anashambulia Moscow moto unawaka anakolala putin, putin alisema ikishambuliwa Moscow ataanzisha vita ya nuclear sasa Ukraine wanapiga Moscow na karibuni Ukraine watapewa silaha kazi zaidi kuzidi kumuashia moto jamaa
 
Viwanja vyote vya soka huko England vitakuwa targets... vitabomolewa vyote chini ya dakika tano. Hakuna tena premier league. Uchumi wa England ambao kwa asilimia funai unategemea soka utakuwa kaputi.
Hahahaha Nimecheka sana, Kuna watu mnapenda soccer aisee
 
Mkuu hao NATO wangekuwa watu wa kukiwasha kwa Urusi basi wangefanya kule Kosovo Airport.walikuta Warusi washachukua uwanja, wakacholewa mstari mwekundu wakambiwa wakivuka tu basi hakuna lawama.

Wakajipigisha pigisha simu we mwisho wa siku wakaondoka wenyewe
Russia ingekuwa kihivyo muda huu kusingekuwa na vita Ukraine na wala Zelensky angekuwa alisha sahaulika kitambo.
 
Putin ana matatizo ya kisaikolojia sana. Kila akilala huota zile enzi za Soviet Union wakati Urusi ilikuwa ni taifa linaloogopwa. Ile vita harama aliyoanzisha Bush dhidi ya Iraki ambapo alijaribu kuwa mmoja wa viongozi wa dunia kutoa maoni yake lakini akapuuzwa, jambo ambalo halikuwa linafanyika enzi za Soviet Union lilimchoma sana moyo hadi leo hii. Hata vita yake ya kuvamia Ukraine kwa madai ya ku-"demilitarize and denazify" aliijenga kwa kuiga uvamizi wa Bush Iraq aliosema lengo lilikuwa ni ku-"disarm and debathify." Ana bahati sana Marekani leo inaongozwa na mtu anayependa sana diplomacy; angefanya hivyo enzi za Bush (baba na mwana) au Reagan, Urusi ingekuwa matatizoni sana sasa hivi.
Kakojoe ulale.weww bado ni mtoto.
 
Kanusha kwa hoja nilichoandika.
Zaidi ya hivyo wewe utakua mgonjwa ulietoroka milembe na kuwaona uliowaacha ni wagonjwa wa akili.

Je USA haikupigana na kikundi Cha Watalaban waliotengwa na Dunia kwa miaka 20?

Je USA haikukimbia na kuacha silaha nyingi mno hakuna nchi iliyowahi kuacha hivyo?

Je Leo hii Watalaban sio watawala wa Afghanistan?

Jibu tafadhari ili watu wasikuone wewe ni hamnazo.
Jibu.
Sasa nihangaike kuweka hoja wakati wewe mwenyewe hata haujui hoja unafananaje? Sasa nikiiwela utajuaje kuwa ni hoja?
Unamuabisha sana huyo jamaa uliyechukua jina lake na kujipa, kwa namna ninavuomheshimu huyo jamaa utafanya vyema sana ukilipumzisha kwa amani hilo jina. Unaweza ukajiita Tuco, ila siyo huyo.
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
Ebu tupe maelekezo sisi wenye uelewa mdogo. USA anamshindaje Russia kwenye vita ya nuclear!?
 
Russia ingekuwa kihivyo muda huu kusingekuwa na vita Ukraine na wala Zelensky angekuwa alisha sahaulika kitambo.
Vita ile ni NATO vs Urusi, wala sio Ukraine. Ndo maana front unaona vifaa vya kijeshi vya NATO na member wengine.ila upande wa Urusi unaona silaha za Urusi tu ndo zinatawala uwanja wa vita.

Nato na Marekani imepeleka wanajeshi wake wengi wa akiba na ilo lipo wazi mpaka ushahidi upo.ingekuwa ni vita kati ya Ukraine vs URUSI basi tungesahau kama kuna taifa la aina iyo.alafu Ukraine ni taifa kubwa kieneo kwa ulaya.
 
Vita ile ni NATO vs Urusi, wala sio Ukraine. Ndo maana front unaona vifaa vya kijeshi vya NATO na member wengine.ila upande wa Urusi unaona silaha za Urusi tu ndo zinatawala uwanja wa vita.

Nato na Marekani imepeleka wanajeshi wake wengi wa akiba na ilo lipo wazi mpaka ushahidi upo.ingekuwa ni vita kati ya Ukraine vs URUSI basi tungesahau kama kuna taifa la aina iyo.alafu Ukraine ni taifa kubwa kieneo kwa ulaya.
Kwanza Russia amepata misaada sana ya silaha kutoka North Korea, Iran na hata China na hilo liko wazi kabisa.

Tupe ushahidi wa Marekani na Nato kiujumla kupeleka majeshi ya akiba nchini Ukraine.
 
Hivi wewe unakumbuka Huyo George Bush wako ndio alikua Rais wa USA mwaka 2001 Hadi 2009 wakati Putin akiwapiga Georgia mwaka 2008?
Je bush alifanya Nini?
Nakumbuka NATO wote walipiga kelele TU wakaishia kulaani TU.
Putin aliyakomboa majimbo mawili ya Georgia yaani southern Ossetia na Abkhazia kutoka kwenye makucha ya Georgia.Hayo majimbo nayo yalikua yanateswa na Georgia kama vile Donbas ilivyokua inayeswa na Ukraine.
Bush alikua ndio Raia wa USA.

Nitajie Rais mwingine yoyote wa USA ambae aliwahi kuwa mbabe kwa Urusi halafu nikupe maelezo yake yake.

Haya na wewe nakuuliza swali,ni wakati wa Rais Gani wa USA ndipo Mwamba Putin aliichukua Crimea?
Umembana kwenye kona
 
Kama ungekuwa umesoma documentary na vyote ulivyovitaja usinge argue ki- layman! Vita Kati ya nchi na nchi haijawahi kukosa na supporters hata Russia Leo Kuna kina North Korea na Iran wanamsupport!
Kwa hiyo umethibitisha kwamba kushuhudia vita vya kagera sio kigezo Cha kujadili vita nyingine.
Maana kwako wewe kushuhudia vita vya kagera ndio kipimo Cha kujadili zote.
 
Umembana kwenye kona
Eeee bwana,maana anataka kutufanya sisi watoto.eti George Bush angekuwepo Putin asingeivamia Ukraine,eti anadai kwamba Bush ni Tough sio kama Biden.
NAMI nikamkumbusha jinsi Putin alivyoinyoosha Georgia mbele ya George Bush na NATO yake lkn waliufyata na putina akayatangazia uhuru majimbo mawili ya Georgia ya south Ossetia na Abkhazia.
 
Back
Top Bottom