astig
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 204
- 245
Hamna shida, hujanikwaza brother ni vile tu nimeona unaweza kumkatisha tamaaNilikuwa nawaza tu kwa sauti, nisamehe kama nimekukwaza.
Hamna shida, hujanikwaza brother ni vile tu nimeona unaweza kumkatisha tamaaNilikuwa nawaza tu kwa sauti, nisamehe kama nimekukwaza.
soldier huwa haogopi bali anareactUnanifuatilia? Surveillance? Unanitisha sana ujue?
Ujinga wako ndio umefanya thread isimame! Ondoa hii comment yako tafadhaliHii story ingependeza ingeletwa na the bold, huyu alieileta si msimuliaji mzuri.
Atakuwa mnadhimu mkuuMimi pia nampenda sana huyu mkaka sijui kabila gani?
Mnadhimu mkuu wa nini?Atakuwa mnadhimu mkuu
MnyakiMnadhimu mkuu wa nini?
Atakuwa wa CDMMnadhimu mkuu wa nini?
Kulikuwa na TV ama internet hapa Tanzania wakati huo?Nakumbuka vizuri tukio hili, lilileta mgogoro mkubwa kimataifa miaka ile. Ile ndege ya Korea ilishambuliwa ktk rasi ya Kamchatka.
Vv
Vitoke wapi? Gazeti la Uhuru na lile la Mfanyakazi ndiyo yalikuwa yanaonekana magazeti huru! Tulikuwa na Radio Tanzania pekee, ukitaka habari tofauti unatafuta Sauti ya Kenya (VoK), BBC na DW kupitia masafa ya SW.Kulikuwa na TV ama internet hapa Tanzania wakati huo?
Mkuu acha kabisaUmenipandisha mzuka Wa Kikurya hadi nimepakumbuka nchi moja iliitwa "RTS Kunduchi" miaka hiyo.
aiseeVitoke wapi? Gazeti la Uhuru na lile la Mfanyakazi ndiyo yalikuwa yanaonekana magazeti huru! Tulikuwa na Radio Tanzania pekee, ukitaka habari tofauti unatafuta Sauti ya Kenya (VoK), BBC na DW kupitia masafa ya SW.
Vv