kongamano MUCCOBs aka ushirika jumamosi 21 of may

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
Kutakua na kongamano kuhusu Tanzania,umasikini na miaka hamsini ya uhuru.
kongamano hili litafanyika nyerere hall hapo chuon ushirika kilichopo Moshi barabara ya kwenda hospitali ya KCMC.
watoa mada
Atakuwepo.mheshimiwa samweli sitta,waziri wa afrika mashariki.mwakyembe.prof shifji,mstaafu mkuu wa chuo muccobs na mwalimu mangasini.
Topic zitakazo ongelewa
1)Prof shivji,(why Tanzania is still poor 50 years of independence.
2)hon.samweli Sitta.Leadership ethics in managing national resources.
3)prof.Suleiman Chambo.The role of cooperative in national development
4)Harrison Mwakyembe.the role of youth in Tanzania Economy.
5)Mr.Mangasini RUral-urban disparities in tanzania. Mnakaribishwa wadau
 
Kwa mbali namuona Paul Makonda na wazee wake (Sitta na Mwakyembe)
Sasa GOSHACO wamehamia kwenye harakati?
Ok, lakini pia huwa wanafanya, nakumbuka alimletaga Mzee Ndesamburo pale USHIRIKA grounds... Makala akataka kujinyea!
Nawapongeza Muccobs, ila kipekee nampongeza Makonda na harakati zake ila ifike sehemu chuo kimpe japo Degree ya heshima maana kijana anakitangaza sana chuo.
 
haita onyeshwa live ila itarushwa kipindi maalum.Moshi fm itarusha tukio hili live.

Nice,...ingawa nasikia ndio siku ya unyakuo kwa wale wteule,.....lakn mm simo hivyo ntahudhuria huo mhadhara muhimu....thanx 4 ua info.
 
Back
Top Bottom