kongamano la muccobs

kuringe

Member
Jan 22, 2011
19
1
kiuandaj lilikua limeandaliwa vzur ila sdhan km yaletuliotazamia kupata tumeyapata,waheshmiwa walioalikwa hakuonyesha dalil za kutak kutueleza tumejikwaa wap na tufanye nn kujinasua na tatzo linalotusumbua la umaskin.ni kwel kongamano halikua la kisiasa ila kwa muktadha wa maada huska siasa lazma iwepo.kwan waheshmiwa waalikwa n wanasiasa na sio wanasiasa wachanga bali n wakomavu haswa. Hvyo wanaujua ukwel wa tatzo vzur.bnafs nmshukuru mwl.wetu mr mangasin alijtahd kutupa doz ya ksomi kwa kutumia data za research na kufanya ulinganisho yakinifu kwa mifano halisi.waheshmiwa walijarbu kuongea kwa kuzungukazunguka mwisho wa sku muda ukaisha ila nina iman mr mangasn kajarbu na kathubutu kutueleza ukwel ambao waheshmiwa hakuweza ama hawathubutu kutuambia.hakika sku yangu haikupotea nmepata kitu haswa ukizngatia sisomi kozi anayofundsha mr mangasin.
 
Duh!!!inadhihirisha dhahiri u msomi wa chuo kikuu cha kata haswaaaaaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom