Kombe la UEFA KUTUA BONGO machi 27

tembeleh2

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
765
165
Wana JF, kombe la club bingwa ulaya lanategemewa kutua nchini mnamo machi 27 mwaka huu. kombe hili linaletwa kwa udhamini wa kinywaji cha HEINEKEN.Je ujio wa kombe hili unaweza kuwa na athari yoyote chanya kwa soka letu la bongo?

Source: blogu ya Michuzi
 
Kiasi fulani inaweza kuchangia kuwatia machungu na kufanya wanasoka wajitume zaidi.
 
Back
Top Bottom