Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

ni bahati mbaya tu imemkuta tena usikute alimpiga kidogo tu,ni wangapi hapa wanafanya ugomvi maeneo kama hayo?kwa jinsi ninavyomjua octavian inaonekana alikuwa humiliated sana siyo mtu wa ugomvi ni mpole sana japo kuwa ana mwili mkubwa wa mazoezi

Ameua kwa makusudi adhabu yake ni kitanzi
 
Hapo ni ndugu wa Marehemu Alcado aka Mbavu za Mbwa wafatilie tu kesi ili haki itendeke na si kutendeka tu bali ionekane imetendeka,hakuna mtu aliye juu ya sheria ndio maana hata mkapa alishawahi kufika kwa pilato.

Kweli kabisa haki lazima itendeke. Mwanajeshi ameua kwa kukusudia
 
Wakuu mwanajeshi KUWA COMMANDO tusidhani ni mafunzo yale ya MWENDO WA KUNYAKUA wanaoonyesha mbele ya Mh Rais nyakati za sherehe.

Commando mmoja ni billion of money kufuzu mafunzo yake. Kumpoteza Commando kwasababu za kijinga ni UPUMBAVU.Huyu Commando Octavian ni Military Asset usidhani hukumu tunaitoa hapa JF inamaana sana lakini huu tunaotoa ni mmwelekeo. Commando kachokozwa, historia pia itaonyesha. .

Hakuna cha komandoo wala nini, upuuzi mtupu.. Makomandoo ya Kenya yalishindwa kuwakamata al shabaab watano tu Westgate.. Huyo komandoo wenu ni mpuuzi lazima sheria ifuate mkondo wake
 
Hakuna cha komandoo wala nini, upuuzi mtupu.. Makomandoo ya Kenya yalishindwa kuwakamata al shabaab watano tu Westgate.. Huyo komandoo wenu ni mpuuzi lazima sheria ifuate mkondo wake

Judgement yako haina mantik, usidhani Kenya na Tanzania kijeshi tunalingana. Nidhamu ya TPDF na KDF ni TOFAUTI SANA. TPDF ni jeshi la mfano duniani.
 
Wakuu mwanajeshi KUWA COMMANDO tusidhani ni mafunzo yale ya MWENDO WA KUNYAKUA wanaoonyesha mbele ya Mh Rais nyakati za sherehe.

Commando mmoja ni billion of money kufuzu mafunzo yake. Kumpoteza Commando kwasababu za kijinga ni UPUMBAVU.Huyu Commando Octavian ni Military Asset usidhani hukumu tunaitoa hapa JF inamaana sana lakini huu tunaotoa ni mmwelekeo. Commando kachokozwa, historia pia itaonyesha. .

Yeah ni ishu ya public interest hyo....
 
Watanzania ni waoga sana!

Iweje watu wote waliokuwepo hapo hawakumsaidia?

Wapumbavu kabisa.
 
Jeshi la kuua raia makusudi ndio mfano gani?

mfano gani endelea tu kushangilia siku wakikutoa roho ndio utajua ila kwa kuwa upo kwenye keyboard huwezi jua kama una nidhamu ndio uuue katiba kuna sehemu inasema kuna sehemu watu wanaruhusiwa kuua
 
mfano gani endelea tu kushangilia siku wakikutoa roho ndio utajua ila kwa kuwa upo kwenye keyboard huwezi jua kama una nidhamu ndio uuue katiba kuna sehemu inasema kuna sehemu watu wanaruhusiwa kuua

Nionyeshe hiyo sehemu inayosema raia asiekuwa na hatia auawe kwa makusudi
 
Huyu komando ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, sasa kitendo cha mkewe kushikwa ndo anaua mtu!!
Hata mkewe nae ni mpuuzi tu kwa sababu alipaswa kujua kua pale ni baa na watu walikunywa pombe sasa mtu akishalewa anakua na akili gani, haya majeshi yetu yamekua yakileta aibu kila siku.
Nadhani serikali iandae utaratibu wa kuyapeleka vita mbalimbali ili wawe bize maana wanapokaa na kula vipesa vyao wanapata kiburi na kutunza nguvu kwa ajili ya kufanyia ujinga kama huu.

Kwa hiyo Wewe mke wako mkiwa bar huwa unaruhusu ashikwe mbunye kwa vile mko kwenye kilaji? Shame on you dude!!
 
Debe tupu anawatishia tu raia mana wenye mafunzo huwa wanafundishwa uadili wakutopigana mpk ifike hatua ya ju ndo hupiga
 
Back
Top Bottom