Kokoriko ya Paw Fum ni ngoma nzuri sana kwa DJ's wa Pub

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,123
1,921
E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa.

Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka. Ukisikiliza kwenye simu hupati utamu mchawi weka kwenye bufa hapo utaskia mapigo yake.

Natamani kumfahamu producer aliyesuka hili tambo wakuu
 
Kama miziki yenu Vijana ndiyo hii kweli kazi mnayo, mziki hauna vibe hata Mimi mzee umeshindwa kunivutia🤪🙌
 
Tatizo la hawa wasanii wanaendekeza uhuni, ngoma kama hii ina ubishoo flan hivi, mara nyingi wasanii wanaopenda uhuni hawatoboi
 
E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa.

Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka. Ukisikiliza kwenye simu hupati utamu mchawi weka kwenye bufa hapo utaskia mapigo yake.

Natamani kumfahamu producer aliyesuka hili tambo wakuu

We hujui mziki kabisa rudi kwenye ngoma za asili. Kwanza beat la kienyeji hata linavyoanza, kuja kwenye kuimba kwenyewe nimeishia alipoanzia eti
"Kokorikoo, kama kikuku.
Kokorikoo una, uchungu"
Uko mbele sijui ameendeleaje. Mziki gani huu
 
Mm nimependa hilo beat, namshauri aachane na Rap mana haina soko, hata Rema na Davido iliwashinda wakaja Pop wametoboa
Hapa Bongo Rap na Hip Hop hamna kitu sijui hata Rapcha alipotelea wapi
 
Tatizo la hawa wasanii wanaendekeza uhuni, ngoma kama hii ina ubishoo flan hivi, mara nyingi wasanii wanaopenda uhuni hawatoboi
Yaani nyimbo haina maudhui kabisa

Sijui amelenga hadhira ya Vijana wenzao wa Hovyo 🙌
 
Kwa kweli, ameshindwa kutumia mbinu ya kuandikiwa?

Angemfata Barnaba ama Roma amuandikie mashairi kuliko kufanya nyimbo mbaya hivyo
Kwa Hip Hop hata kama ukiandikiwa haina soko bora aimbe singeli
 
Back
Top Bottom