kodi ya maskini itachezewe kwahili

mshana org

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
2,091
618
kutokana naamuz yaliyochukuliwa na mahakama kuu ya arusha kumuengua lema inaamaana kua ndani ya siku tisini tume yauchaguzi inatakiwa itangaze uchaguzi mwingine swali serikali ye2 inapata fhedha za kuendeshea kampeni kamahizi?je wanategemea hili jimbo linaenda nje nachadema kama wanavyotaka?ninachokiona tutaiabisha mahakama na serikali hiyosiku yakupiga kura itakapofika.kinachoniuma nikwakua najua hela itakayotumiwa na magamba kwenye uchaguzi ninyingi alafu nikodi zetu ndizo zitakazotumika hapa.ila wataisoma namba tanzania bila magamba inawezekana.tulianza na mungu tutamaliza namungu
 
Back
Top Bottom