Kodi kubwa ya Magari Bandarini, ina faida au hasara?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,624
8,781
Mimi nina mwaswali kuhusu kodi ya magari Tanzania

1. Tax iliyowekwa inazingatia kuongeza kipato cha serikali
2. Kama swali la kwanza ni ndiyo basi je mmezingatia vipato vinavyotokana na magari kama mafuta, matairi, spare, utoaji wa kazi na ongezeko la utekelezaji kwenye jamii kwa kuwa na gari.

Sababu ya kuuliza haya maswali sijui kama umefanyika utafiki wa wazi kujua manufaa ya magari kwenye jamii na hata kwenye kodi nyingine ya vitu vinavyotokana na magari. Hii inasababisha Serikali kwa kuweka kodi kubwa kupunguza uingizaji wa magari na kwa kufanya hivyo kupunguza mapato ya kodi.
 
Back
Top Bottom