Karibu sana mrembo.sante, nashkuru
Hivi ni Nani kawambia kuwa huu ni mji wa kitalii na una hitajika kuwa na tour guide....Karibu sana
Ni pm ili nikutembeze majukwaa mbali mbali kukutambulisha
OoohoooKaribu sana mrembo.
Kaa na mm hapa jf nadhan utafurahia maisha
Wewe jamaaa ni zaidi ya shilawaduOoohooo
Nani kakwambiaWewe jamaaa ni zaidi ya shilawadu
Umenifukunyua hadi huku aiseeeNani kakwambia
Usiogope mkuuUmenifukunyua hadi huku aiseee
Kafungukie tuu utapewa nafasi ila ukiogopa kuna kibabu cha humu kitakuwahiHaina noma jooh. Penda sana haka katoti PipiJojo