Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

Mkuu katika level aliyo weza kusanya capital I dare we huwezi fanya hio kitu.
na mbona Nala Ina fanya poa tu, kaangalie data zao utaona
Capital si familia imemsapoti,dogo anatokea familia tajiri,kitu ninachoweza kukubali ni kwamba kichwani yupo vizuri,nilimuona Kuna mahala anaongelea Clubhouse kabla haijawa Clubhouse...he predicted the future..
 
Mimi nazungumzia hiyo mentality, naamini Kuna wakubwa na wazee wengi hawana.
 
Nipo interested na nini kilitokea baada ya baba kumkunja mwana. Leta muendelezo mzee mwenzangu???
Uzuri wa yule mshikaji wangu hakuwa mtumiaji sana wa JF zaidi ya habari zile nzito nzito zikitoka tulikuwa tunapenda kuangalia mijadala mara nyingi ilikuwa ikijadiliwa na watu ambao walikuwa well informed na mambo husika. Baada ya mshua ku-review account yake akagundua mwanae hakuwa active kabisa na hakuwa na nogwa zaidi hiyo bahati mbaya kupisha kauli ila ilikuwa kiutani zaidi. Mshua nae akatuonyesha account yake ambayo yeye alikuwa akipenda kujadili siasa na uchumi na walikuwa wanakijikita kwenye hoja tu.
 
Back
Top Bottom