INAUZWA Kiwanja na Nyumba

Glas

JF-Expert Member
May 30, 2016
1,244
1,180
Habari za Leo wana jamii forum
Nina maeneo mawili nayauza yapo Kibaha
Kiwanja kipo maili moja(35*25) eneo linaitwa Loliondo Karibu na stand mpya
Bei ni 15M (maongezi yapo)
Nyumba ipo kibaha(eneo lina ukubwa wa 40*60)ina vyumba 9
Bei 120M(maongezi yapo)
Kama uko interested pliz Njoo PM tumalize…Nahtaj kuyauza kwa haraka Kidogo.
Asanteni.
Nb: documents zote zipo
Nawasilishaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom