Kiwanja kinauzwa ( urefu 25 upana 30 ) Bei ( milion 4 )

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
491
189
Kiwanja kipo kivule ( Gongo la mboto ). kimepimwa na kina hati zote. Bei M4. Tuwasiliane 0717369162
 
Ni futi mkuu

hakuna kiwanja cha ukubwa huo kilichopimwa maana huo ni sawa na ukubwa wa sebule ya maana.hiyo lazima iwe ni mita.kuwa makini.je umepima mwenyewe au eneo lote limepimwa nikimaanisha na majirani zako
 
Hizo ni mita kwa kutumia hatua za miguu na ndio vipimo vinavyotumika vijijini kuuziana mashamba ila ukiwa na mpimaji mwenye miguu mirefu unafanikiwa kupata kiwanja kikubwa zaidi. Kiwanja chenye hati kinapimwa kwa vipimo vya kisasa kwa kutumia kamba maalumu ya kupimia (tape measure).
 
Unajua nimecheka mpaka basi: mmemuuliza kimepimwa akasema ndiyo urefu 25 upana 30 tena kwa kushirikiana na majirani zake. Mimi pia nimepima cha kwangu 50 kwa 50 kwa kuwashirikisha majirani (ila sikiuzi). Au labda wauliza swali waweke wazi nani kapima? Ardhi au mwenye kiwanja?
 
atakuwa kapima mwenye kiwanja, sio mamlaka ya arthi. na hizo hati zitakuwa si za serekali. anyway kwa iyo bei, si mbaya kama utanunua alafu ukapime mwenyewe. what matters ni uhakika kwenye uuzwaji usije ukaingia cha kike, maana skuizi hadi wazee wa miaka 60 matapeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom