funny Senior Member Jun 30, 2012 102 23 Sep 28, 2017 #1 Kiwanja kinaukubwa wa 18*20 gari inafika hadi ktk kiwanja . Bei nafuu sana. Umeme na kisima cha maji vipo karibu sana. Bei tzs 3,950,000.00 Call 0658 554 992
Kiwanja kinaukubwa wa 18*20 gari inafika hadi ktk kiwanja . Bei nafuu sana. Umeme na kisima cha maji vipo karibu sana. Bei tzs 3,950,000.00 Call 0658 554 992
magode JF-Expert Member Oct 2, 2014 2,201 3,322 Sep 28, 2017 #4 Mbona porini na hata watu hawajahamia. Bei yenyewe unauza ya kipindi cha kikwete..! Anyway,hivyo vipimo vyako vya 18×20 ni nini,mita,futi au miguu!??
Mbona porini na hata watu hawajahamia. Bei yenyewe unauza ya kipindi cha kikwete..! Anyway,hivyo vipimo vyako vya 18×20 ni nini,mita,futi au miguu!??
funny Senior Member Jun 30, 2012 102 23 Oct 1, 2017 Thread starter #5 Kiduku starlet said: Hati ya kiwanja? Click to expand... Hakijapimwa
funny Senior Member Jun 30, 2012 102 23 Oct 1, 2017 Thread starter #6 puttin said: 18*20 what? Meter au futi Click to expand... Meter
funny Senior Member Jun 30, 2012 102 23 Oct 1, 2017 Thread starter #7 magode said: Mbona porini na hata watu hawajahamia. Bei yenyewe unauza ya kipindi cha kikwete..! Anyway,hivyo vipimo vyako vya 18×20 ni nini,mita,futi au miguu!?? Click to expand... Kuna mji na usafiri wa daladala upo. Meter 18*20
magode said: Mbona porini na hata watu hawajahamia. Bei yenyewe unauza ya kipindi cha kikwete..! Anyway,hivyo vipimo vyako vya 18×20 ni nini,mita,futi au miguu!?? Click to expand... Kuna mji na usafiri wa daladala upo. Meter 18*20
pemgtoonet.com JF-Expert Member Apr 29, 2013 880 618 Oct 1, 2017 #8 upande upi,kama unaelekea mbopo au madale?
funny Senior Member Jun 30, 2012 102 23 Oct 2, 2017 Thread starter #9 pemgtoonet.com said: upande upi,kama unaelekea mbopo au madale? Click to expand... Kipo ukitokea msumi kwenye short cut ya kuelekea Mbopo
pemgtoonet.com said: upande upi,kama unaelekea mbopo au madale? Click to expand... Kipo ukitokea msumi kwenye short cut ya kuelekea Mbopo
pemgtoonet.com JF-Expert Member Apr 29, 2013 880 618 Oct 3, 2017 #10 Hahah nakifahamu,poa komaa utauza,kipo road ya mtaa kabisa na kina mfenesi unazaa balaa