Kiwanja kinauzwa Kibamba kwa mangi

spray

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
277
241
Kiwanja kinauzwa Kibamba kwa Mangi kabla hujafika kwenye zile nguzo kubwa za Tanesco, maeneo ya karibu na BUKUKU.

Maji DAWASCO yapo, umeme ni hapo hapo, pamezungukwa na nyumba ni pazuri, kwaajili ya nyumba ya kuishi au frame pia unaweza kujenga. Size ni 20 by 20 bei 12mililoni.
Kama upo interested ni PM.

Angalia hio avator yangu ndo hio plot,hapa nashindwa kuupload
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom