Kiwanja kinauzwa Boko wilaya ya Kinondoni - Dar

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
kina ukubwa wa sqm 1000
kipo boko block C
Plot no....
kimepimwa na kina offer
kuna umbali wa 1km kutoka barabara kuu.
Bei ni 10,800,000 hiyo pei haina kupunguzwa
mimi ni dalali mililiki yupo ukiwa tayari nitakuunganisha naye kwa malipo ukiwa tayari umeona na kujiridhisha na nyaraka.

0657 145555, 0686 200 117 na 0778 625 039 Akiri
 
Viwanja vyenye ofa bila title mara nyingi huwa ni vimeo!
kiwanja chenye ofa ni rahisi sana kubadili umiliki ni suala la siku moja, umaanisha nini unaposema kimeo? kopo ambalo halina kitu ndani huwa linakelele sana.
 
ukinunua kiwanja hiki kwa bei hiyo kama ilivyo utapatiwa hati yenye jina lako ndani ya siku 14 mpaka 21 .
 
mi natafuta kiwanja ambacho mwenye kiwanja kajenga boma, au foundation alafu ikamshinda. Nataka plan ya vyumba 3-4. Nina mil 25 sichagui sana.
 
mi natafuta kiwanja ambacho mwenye kiwanja kajenga boma, au foundation alafu ikamshinda. Nataka plan ya vyumba 3-4. Nina mil 25 sichagui sana.
kiwanja cha hivyo ninacho pale tabata segerea ni bangalow la vyumba 3 vya kulala .msingi imara tayari upo pamoja na ukuta madhubuti. nipigie tuongee zaidi au pm
 
mi natafuta kiwanja ambacho mwenye kiwanja kajenga boma, au foundation alafu ikamshinda. Nataka plan ya vyumba 3-4. Nina mil 25 sichagui sana.

Kwa ushauri tu, kama una sh. mil 25 unaweza kununua hicho cha mil 10 then ukatumia mil 15 kudevelop structure kwa style unayoipenda. Mil. 15 ni mtaji mzuri kuanzia ujenzi...
 
kina ukubwa wa sqm 1000
kipo boko block C
Plot no....
kimepimwa na kina offer
kuna umbali wa 1km kutoka barabara kuu.
Bei ni 10,800,000 hiyo pei haina kupunguzwa
mimi ni dalali mililiki yupo ukiwa tayari nitakuunganisha naye kwa malipo ukiwa tayari umeona na kujiridhisha na nyaraka.

0657 145555, 0686 200 117 na 0778 625 039 Akiri

Mkuu Akiri, wewe ni muungwana, safi sana. Wengi wanaotangaza vitu hapa huwa ni madalali lakini hawasemi ukweli. mwisho wake wanasababisha usumbufu kwa potential customers!
 
kiwanja cha hivyo ninacho pale tabata segerea ni bangalow la vyumba 3 vya kulala .msingi imara tayari upo pamoja na ukuta madhubuti. nipigie tuongee zaidi au pm

nipo mkoa narudi dar baada ya ramadhani nkifika ntakustua. Lazma kiwe na title iliyokamilika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom