Kiwanja Kinahitajika Dodoma

Mkuu, nina Kiwanja Makulu, Dodoma Mjini, kina ukubwa wa hatua 30 kwa 17,bei ni Tsh. 2,000,000 tu. Kipo tambarare na majirani wapo wameshajenga.
Wasiliana nami kwa namba 0786 294545
Karibu
 
Mkuu, nina Kiwanja Makulu, Dodoma Mjini, kina ukubwa wa hatua 30 kwa 17,bei ni Tsh. 2,000,000 tu. Kipo tambarare na majirani wapo wameshajenga.
Wasiliana nami kwa namba 0786 294545
Karibu
Ni umbali gani kutoka katikati ya mji?na ni upande gani?maelezo kidogo yanahitajika
 
Above 4m ndiyo bei gani mkuu na ni sqm ngapi tafadhali, siyo wote tunaweza kufika Dodoma sasa hivi ila tuna uhitaji wa kiwanja
 
Nimejifunza kupitia Uzi huu kuwa sisi watanzania wengi hatuna asili ya biashara kabisa....mtu ana kitu lakini hawezi hata kukielezea kivutie mnunuzi, hata bei hataji....bora wakenya waje kutunyoosha tu!
 
*VIWANJA / PLOTS DODOMA ENEO LA MKONZE*

List ya viwanja hivyo ni vifuatavyo kutokana na ukubwa

*Block C*
Plot No. 29 - 787 Sqm
30 - 774 Sqm
31 - 746 Sqm
32 - 762 Sqm

*Block L*
Plot No. 62 - 741 Sqm
63 - 736 Sqm
64 - 731 Sqm
65 - 726 Sqm
66 - 721 Sqm
67 - 733 Sqm
68 - 420 Sqm
69 - 588 Sqm
70 - 584 Sqm
71 - 581 Sqm
72 - 751 Sqm
73 - 817 Sqm

*Block J*
Plot No. 27 - 696 Sqm
28 - 650 Sqm
29 - 590 Sqm
30 - 595 Sqm
65 - 675 Sqm
66 - 769 Sqm
67 - 686 Sqm
68 - 692 Sqm

Viwanja vyote hapo 24 vinauzwa Flat Rate kwa bei ya *TShs. 2,800,000/=* tu. Ukinunua unapewa hati na CDA mamlaka ya Jiji lijalo la DODOMA.

Kupata kiwanja mawasiliano.

0717967411

0758905902

0628729184
 
*VIWANJA / PLOTS DODOMA ENEO LA MKONZE*

List ya viwanja hivyo ni vifuatavyo kutokana na ukubwa

*Block C*
Plot No. 29 - 787 Sqm
30 - 774 Sqm
31 - 746 Sqm
32 - 762 Sqm

*Block L*
Plot No. 62 - 741 Sqm
63 - 736 Sqm
64 - 731 Sqm
65 - 726 Sqm
66 - 721 Sqm
67 - 733 Sqm
68 - 420 Sqm
69 - 588 Sqm
70 - 584 Sqm
71 - 581 Sqm
72 - 751 Sqm
73 - 817 Sqm

*Block J*
Plot No. 27 - 696 Sqm
28 - 650 Sqm
29 - 590 Sqm
30 - 595 Sqm
65 - 675 Sqm
66 - 769 Sqm
67 - 686 Sqm
68 - 692 Sqm

Viwanja vyote hapo 24 vinauzwa Flat Rate kwa bei ya *TShs. 2,800,000/=* tu. Ukinunua unapewa hati na CDA mamlaka ya Jiji lijalo la DODOMA.

Kupata kiwanja mawasiliano.

0717967411

0758905902

0628729184
mm cyo muuzaji nmetuma tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom