Kiwanja cha biashara sqm 8000 kinauzwa geza kigamboni

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Kiwanja kina hati, kipo pembeni ya barabara ya lami , kinafaa kwa ujenzi wa kituo cha mafuta , supermarket nk . kipo gezaulole ni mwendo wa 14km toka feri ya kigamboni bei ni 250m . kwa mahitaji ya kiwanja hiki au nyumba za kununua hapa Tanzania tuwasiliane 0657 145555 havilla2011@gmail.com
 
Duu , geza bado polini hela zote hizo??!!!!! Juzi umekinunua 64m sasa hivi umepandisha hela yote hiyo? Kazi kweli kweli
 
geza polini ? na kama ulikinunua mbona kinauzwa ? utakuwa umechanganya mkuu . sisi niwauzaji tu hizo bei mnapanga wenyewe wenye mali . lakini unaweza kinunua tana mkuu bei inazungumzika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom