Hata kama mazungumzo yangu yalikuwa ya faragha, hakunitahadharisha nisiwatonye wenzangu kwenye kijiwe chetu. Kinachokukera wewe ni kipi?"hana habari na mambo ya JF" maana yake hajui kwamba kuna mjomba mmoja akipewa michongo ya faragha anakuja kuibandika humu kwenye ma blogu kwamba Butiku alimwambia ham-maindi Kikwete.
ambalo Butiku hajalisema hadharani usimsemee kwenye ma blogu