Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu

mamseri

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
707
292
Wakuu hawa jamaaa ni noma sana. Leo watu wamepata elimu kubwa sana kuhusu rasimu ya pili ya katiba maeneo ya kata ya Kiranyi Arumeru. Kwa kweli wanajitahidi sana wanatoa vipeperushi na cd zenye elimu kuhusu rasimu hiyo na wanadai ni zoezi la nchi nzima. Nimewapenda sana mungu awabariki hakika tutapata katiba tunayoitaka.
 
Back
Top Bottom