Kituo cha kutibu ndoa na mahusiano.

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
broken-marriage-egg.jpg

KITUO CHA KUTIBU NDOA NA MAHUSIANO.

KWENU WADAU, NIMEFIKIRIA KWA UNDANI NA NIMEUONA NI MUHIMU SANA NIANZISHE KITUO CHA KUTIBU NDOA ZILIZO PASUKA NA MAHUSIANO YANAYO SUASUA. HUDUMA ZOTE ZITAKUWA BURE . NAJUA UNAWEZA KUWA MIONGONI MWA WATU WANAO TESWA NA UMEKATA TAMAA KWA SABABU NDOA, USIHIFU DAWA IPO.

KAZI ZA KITUO.
1. KUTOA USHAURI WA MATATIZO YOTE NDANI YA NDOA.
2. KUWASHAURI VIJANA WA KIUME WAPATE WACHUMBA WAMINIFU.
3. KUZIUNGANISHA NDOA NA CHUMBA ZILIZO PASUKA
.

SASA NAOMBA USHAURI WENU MAANA SASA HIVI NDOA KARIBU ZOTE ZIMEKUFA MAANA MKEO NI MKE WA KILA AMTAKAYE NA MUMEO NI MUME WA KILA MPITA NJIA, NA KILA UNAYE MPATA KUWA NA UHUSIANO NAYE ALISHA CHAKACHULIWA VYA KUTOSHA.

Nimelelewa katika maadili mazuri, ni mkarimu mpole wa kutosha na msikivu. Nimesha tatua migogoro ya ndoa na nimerudisha mahusiano ya vijana yaliyo kuwa yanaelekea kufa. Nimesoma ninaelimu nzuri na uelewa mzuri wa saikologia hasa ya binadamu. usihofu , najua ninaloweza gfanya na nisilo liweza. Najua watu wanavyo teseka.

NAIPENDA KAZI HII. ASANTENI.
 
:redfaces:

Kweli Taaabu tupu!!!!!!!!!!!!!!!

Haya bwana, hapo kwenye red inaonesha umeshafanya marketing study na umegundua plan yako iko feasible, So just go ahead

Hata hivyo ili tujue tukuruhusu au la, tupe credibility yako kidogo.

Unadhani ni kwa nini kazi hii utaiweza na italeta matokeo chanya??? Una vigezo vipi. Je ni nyani mzee au???
 
KWENU WADAU, NIMEFIKIRIA KWA UNDANI NA NIMEUONA NI MUHIMU SANA NIANZISHE KITUO CHA KUTIBU NDOA ZILIZO PASUKA NA MAHUSIANO YANAYO SUASUA. HUDUMA ZOTE ZITAKUWA BURE.
KAZI ZA KITUO.
1. KUTOA USHAURI WA MATATIZO YOTE NDANI YA NDOA.
2. KUWASHAURI VIJANA WA KIUME WAPATE WACHUMBA WAMINIFU.
SASA NAOMBA USHAURI WENU MAANA SASA HIVI NDOA KARIBU ZOTE ZIMEKUFA MAANA MKEO NI MKE WA KILA AMTAKAYE NA MUMEO NI MUME WA KILA MPITA NJIA.
Ushauri wangu hapo kwenye red it will never work. Kwa hiyo fungua kituo cha:
1. KUTENGANISHA NDOA KWA AMANI NA KWA KUFUATA SHERIA
2. KUSHAURI VIJANA WASIOE.
Asante
 
Nimelelewa katika maadili mazuri, ni mkarimu mpole wa kutosha na msikivu. Nimesha tatua migogoro ya ndoa na nimerudisha mahusiano ya vijana yaliyo kuwa yanaelekea kufa. Nimesoma ninaelimu nzuri na uelewa mzuri wa saikologia hasa ya binadamu. usihofu , najua ninaloweza gfanya na nisilo liweza. Naipenda kazi hii. asante

Hapo umenena.

Nakushauri ongeza credentials hizi kama additional material kwenye original posts ili watu wajenge imani yako na kisha ukuianzisha tufanyie referal wenye matatizo ya aina hii.

Hongera kwa wazo hili
 
Ushauri wangu hapo kwenye red it will never work. Kwa hiyo fungua kituo cha:
1. KUTENGANISHA NDOA KWA AMANI NA KWA KUFUATA SHERIA
2. KUSHAURI VIJANA WASIOE.
Asante

Vegule hii ya kwako balaa hii.

Umenikumbusha story moja ya jamaa yangu alieniambia wabongo tunapenda vitu kinyume. Mahali umeandikiwa pa kujisaidia wewe hujisaidii unaenda mahali pameandikwa usijisaidie hapa.

Labda kwa fikra hii, kwa sababu wabongo tumefundishwa sana mambo ya ndoa sasa ni kufundisha kinyume chake.

Ushauri wangu, Muache jamaa aendelee na plan then na wewe anzisdha hii alafu tuwaweke kwenye mizani kulingana na matokeo.

Kila kimoja kina umuhimu wake
 
kwa nyongeza, unaweza pia kushauri vijana namna kupata na kulea watoto bila ya kuoa ama kuolewa. am strongly against mariage.
 
You know mkuu 95% of mariages are false. sasa ukiwashauri vijana kuoa unacreate prob ati ili uanze kusolve baadye. what a neurotic society are we. zuia tatizo ili usihangaike kusolve
 
hapo umenena.

Nakushauri ongeza credentials hizi kama additional material kwenye original posts ili watu wajenge imani yako na kisha ukuianzisha tufanyie referal wenye matatizo ya aina hii.

Hongera kwa wazo hili

nashukuru kwa ushauri mkuu
 
ushauri wangu hapo kwenye red it will never work. Kwa hiyo fungua kituo cha:
1. Kutenganisha ndoa kwa amani na kwa kufuata sheria
2. Kushauri vijana wasioe.
Asante
ngoja nifikirie kwanza , lakini ni ushauri mzuri
 
nafikiri upo sahihi kabisa, maana tunakokwenda vifo vya watu kwa sababu ya presha vitaongezeka kwa mewnendo wa dnoa zinavyo kwenda. Sijui hili pepo tulitoaje.
 
Nimelelewa katika maadili mazuri, ni mkarimu mpole wa kutosha na msikivu. Nimesha tatua migogoro ya ndoa na nimerudisha mahusiano ya vijana yaliyo kuwa yanaelekea kufa. Nimesoma ninaelimu nzuri na uelewa mzuri wa saikologia hasa ya binadamu. usihofu , najua ninaloweza gfanya na nisilo liweza. Najua watu wanavyo teseka.

sifa za mume ninayemtaka....:teeth::whoo::whoo::hungry::A S-alert1:
 
broken-marriage-egg.jpg

KITUO CHA KUTIBU NDOA NA MAHUSIANO.

KWENU WADAU, NIMEFIKIRIA KWA UNDANI NA NIMEUONA NI MUHIMU SANA NIANZISHE KITUO CHA KUTIBU NDOA ZILIZO PASUKA NA MAHUSIANO YANAYO SUASUA. HUDUMA ZOTE ZITAKUWA BURE . NAJUA UNAWEZA KUWA MIONGONI MWA WATU WANAO TESWA NA UMEKATA TAMAA KWA SABABU NDOA, USIHIFU DAWA IPO.

KAZI ZA KITUO.
1. KUTOA USHAURI WA MATATIZO YOTE NDANI YA NDOA.
2. KUWASHAURI VIJANA WA KIUME WAPATE WACHUMBA WAMINIFU.
3. KUZIUNGANISHA NDOA NA CHUMBA ZILIZO PASUKA
.

SASA NAOMBA USHAURI WENU MAANA SASA HIVI NDOA KARIBU ZOTE ZIMEKUFA MAANA MKEO NI MKE WA KILA AMTAKAYE NA MUMEO NI MUME WA KILA MPITA NJIA, NA KILA UNAYE MPATA KUWA NA UHUSIANO NAYE ALISHA CHAKACHULIWA VYA KUTOSHA.

Nimelelewa katika maadili mazuri, ni mkarimu mpole wa kutosha na msikivu. Nimesha tatua migogoro ya ndoa na nimerudisha mahusiano ya vijana yaliyo kuwa yanaelekea kufa. Nimesoma ninaelimu nzuri na uelewa mzuri wa saikologia hasa ya binadamu. usihofu , najua ninaloweza gfanya na nisilo liweza. Najua watu wanavyo teseka.

NAIPENDA KAZI HII. ASANTENI.
wewe mwenyewe uko kwenye ndoa? au ulishawahi kuwa kwenye ndoa?, haya mambo yanatatuliwa kwa uzoefu zaidi kuliko usomi.

NB: pia unaweza ukashindwa na majaribu kwenye hii shuhuli, kuna mkarabati ndoa mmoja hapa kijijini ashaweka mimba clients wake hawapungui 4. jamaa wameacha kuhuzuria service zake.

-THE END-
 
Kwanza mimi niegundua huyu jamaa anataka kutafuna wake za watu, anataka waje halafu waeleze shida zao na jinsi walivogombana na ndoa zao achukue nafasi. Hii siyo kazi rahisi kama adhaniavyo yeye, kuna uhasama mwingine hauishi
Awaulize Mapadre na madokta wameishia kumega wake za watu
Ushauri wangu hapo kwenye red it will never work. Kwa hiyo fungua kituo cha:
1. KUTENGANISHA NDOA KWA AMANI NA KWA KUFUATA SHERIA
2. KUSHAURI VIJANA WASIOE.
Asante
 
ngoja nifikirie kwanza , lakini ni ushauri mzuri
Wakati ukifikiria kumbuka ni akina nani watakuwa wanakuja, na watakuwa katika hali gani, ama sivyo utaishia kuongeza kabisa matatizo na kuoa wake wengi zaidi
 
kwanza mimi niegundua huyu jamaa anataka kutafuna wake za watu, anataka waje halafu waeleze shida zao na jinsi walivogombana na ndoa zao achukue nafasi. Hii siyo kazi rahisi kama adhaniavyo yeye, kuna uhasama mwingine hauishi
awaulize mapadre na madokta wameishia kumega wake za watu

siyo hivyo mtwa. Sisuluhishi wanawake PEKE YAO, nasuluhisha ndoa yenye mume na mke. Kwahiyo lazima mume ashiriki na mke. Hii ni centre siyo mtu binafsi kwa hiyo nitakuwa na wataalam wengine watakao deal na wanawake na wanaume pia. Kama kuna mambo hayaishi hatuwezi kuyalazimisha japo tutajitahidi kutafuta njia.
 
kwa nyongeza, unaweza pia kushauri vijana namna kupata na kulea watoto bila ya kuoa ama kuolewa. am strongly against mariage.
Ah, Vegule hii ni mhimu kutest kwanza ili mradi ukiona anafaa unaendelea mbele, ukioa kitu kiichoshindikana si ndo mwanzo wa kuwa wa kwanza kufika kwa mshauri?
Hii inakubalika kwa waliofanya hivyo, unamjua kwanza halafu ukisimama madhabahuni unajibu kwa raaaaha ukijua ni nani!
Siyo eti unajibu NDIYO NAMPENDA, lakini hujui a wa z. onja kwanza ndo upurchase
 
ah, vegule hii ni mhimu kutest kwanza ili mradi ukiona anafaa unaendelea mbele, ukioa kitu kiichoshindikana si ndo mwanzo wa kuwa wa kwanza kufika kwa mshauri?
Hii inakubalika kwa waliofanya hivyo, unamjua kwanza halafu ukisimama madhabahuni unajibu kwa raaaaha ukijua ni nani!
Siyo eti unajibu ndiyo nampenda, lakini hujui a wa z. onja kwanza ndo upurchase

hiyo onja onja ndio mwanzo wa matatizo ndani ya ndoa. Subiri wote hadi ile siku. Kama wote ni mpya huoni kama hiyo itakuwa ni raha ya ajabu hapa duniani.
 
siyo hivyo mtwa. Sisuluhishi wanawake PEKE YAO, nasuluhisha ndoa yenye mume na mke. Kwahiyo lazima mume ashiriki na mke. Hii ni centre siyo mtu binafsi kwa hiyo nitakuwa na wataalam wengine watakao deal na wanawake na wanaume pia. Kama kuna mambo hayaishi hatuwezi kuyalazimisha japo tutajitahidi kutafuta njia.
Naona kweli umedhamiria na nadhani kama utakuwa na vijana wako (wafanyakazi wengine) sawa. Yaani nakwambia ukweli, KUNA WATU tena watumishi waliopakwa mafuta, KAZI HII IMEWAWEKA PABAYA kwa macho yetu tumeona.
lakini ilikuwa tatizo anafanya peke yake, mtu mmoja, na wengi wanaofika wanawake tu.
Anawacouncel, wanalia, anawabembeleza hadi kumega. Yaani acha tu, Jiandae maana wengine wanakuja na machungu has wadada maana MADUME ndo mavunjaji ya ndoa, na hayataki kufika kuomba ushauri kamwe.
 
hiyo onja onja ndio mwanzo wa matatizo ndani ya ndoa. Subiri wote hadi ile siku. Kama wote ni mpya huoni kama hiyo itakuwa ni raha ya ajabu hapa duniani.
utakapokuta mambop siyo si ndo mwanzo wa kulaumu! lakini kama unajua kabisa basi ukianza kulaumu lazima uwe na matatizo yasiyo kifani. Lakini yote juu ya yote NATURE IS NOT THAT FAVOURABLE. kwa sasa kama wapo waaminifu hadi siku ile basi wakuhesabu sana.
Labda ufanye utafiti wa hali ya juu sana umpate mwenzako kama wewe. Otherwise lazima itakula kwako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom