Kituo cha afya Mahuta Tandahimba kipo hoi kihuduma

Mengi Paulos

New Member
Aug 18, 2020
1
0
Huduma katika kituo cha afya mahuta kilichopa kata ya Mahuta wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ni mbaya na haziridhishi. Mamlaka zitupie jicho la pekee.

Mgonjwa anaweza subiri mapokezi kwa saa mbili bila huduma. Maabara nako ni hivyo. Pia Kuna vyumba viwili tu vya madaktari vinavyotoa huduma kwa wagonjwa wa OPD.
 
Back
Top Bottom