Kitu gani cha thamani kuliko vyote kwako?

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,007
1,893
Kila mtu anacho kitu anachothamini kuliko vyote katika maisha yake, kwako wewe msomaji, ni kitu gani kina thamani kuliko vitu vyote hapa duniani kwa mtazamo wako! That thing which you value the most na umekiweka grade no. one kwako kwamba kwa mtazamo wako hakuna kitu chenye thamani kuliko hicho?

Kwa maoni yako, kwa mwanadamu yeyote, nini ni kitu cha thamani kuliko vyote ambacho pengine yeye hata hajui kama ni cha thamani?
 
Kila mtu anacho kitu anachothamini kuliko vyote katika maisha yake, kwako wewe msomaji, ni kitu gani kina thamani kuliko vitu vyote hapa duniani kwa mtazamo wako! that thing which you value the most na umekiweka grade no. one kwako kwamba kwa mtazamo wako hakuna kitu chenye thamani kuliko hicho?
fedha
 
Back
Top Bottom