Kitomoto hichoooooo

5_2.GIF
 
Sisi huku Ujerumani huwa tumuita Schwein (Shwain) Au kwa Lugah ya Kibantu Kitomoto hichooooooooo........ Wajerumani wanampenda sana huyu Shwain.. Kitomoto...
800px-Sow_with_piglet_1.jpg
hivi kumbe swani ni shwani haijalishi anaishi nchi gani lazima atakuwa mchafu tu.
 
na mimi nilitaka niwaambie hivyo hivyo

Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu.
 
Halafu huyu mkuu wa meza bana wakati wa ule mfungo wa ndugu zetu alidorora sana mauzo, ilikuwa ukifika tu unajikuta pekeyako unakaangiwa fata

Lakini hivi sasa ni mwendo wa oda kwa foleni

hii mboga aliyoyotupania muumba nitamu hapa masihara
 
Back
Top Bottom