mwamgogwaferdinand
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 697
- 935
Ulifikiri mayowe ya nani hayo?Asee nmeisoma kama unasikia mayowe ya binadamu ndo unataka kuniaminisha kua yanatolewa na hao nguruwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko China na kwengine duniani limezuka gonjwa lisilotibika kutokana na "mdudu" aka "kiti moto" aka "mbuzi katoliki" aka nguruwe.
Nguruwe katika vitabu (vya imani zote kuu mbili za hapa kwetu) kaharamishwa kuliwa. China ingawa kuna Waislam na Wakristo wachache na wengine wa imani nyingine lakini wengi wao hawaamini dini wala Mungu kabisa na Wachina wanajulikana kwa kula chochote kile lakini safari hii kitimoto kimewasibu mpaka wameamua kukiteketeza chote.
Jionee na sikiliza vilio na mayowe yanayofanana na ya binaadam zoezi la kuwateketeza likiendelea...
Badala ya kufanya mambo yako au hata kutawadha, wewe unaongelea kitimoto. Kweli we si mpenzi wa hichi kitoweo? Kama huli basi unafuga.Wachina wanamchoma moto, ngojeni zamu yenu, cheza na maandiko wewe.
Na hawa Korea Kusini wanawazika wazima wazima, vilio na mayowe ya kutisha...
Wapi nimesema hayo? Unaota?"You can't catch swine flu from eating pork "
mtoa mada nenda kausome vizuri huo ugonjwa....risk factor zake cause..Transmission ...pathogenesis yake ...nk ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni taarifa nakupati ... "huwezi ambukizwa swine flue kwa kula kitimoto..Wapi nimesema hayo? Unaota?
Faiz huyo mwenza wako unampa burudani saa ngapi? Ni muda nakuona humu unaandika tu.Alitajwa nguruwe hapo?