Kitengo cha mifupa MOI, Mazingira ya Fyeta/Theater ni hatari kwa wagonjwa na wahudumu

snps

Member
Jan 29, 2013
63
26
Wandugu, Salaam.

Nimeshudhudia mazingira ya hatari sana nilipokuwa nikifanyiwa matibabu pale MOI- Kitengo cha upasuaji. Hali ya vyumba vya operesheni ni ya joto saaana, hakuna kabisa mzunguko wa hewa. Mara kadhaa wahudumu manesi na madakari wakitoa majasho na kuloa mwili wote, na mara zingine jasho likiwadondokea wagonjwa. Hii ni harati saana maana hapa ndipo operation zinafanyika kwa hiyo vidonda vipo wazi na uwezekano wa kuambukizwa maradhi ambayo mtu hakwenda nao ni mkubwa saaana.

I WONDER HOW THESE DRS AND NURSES AGREES TO WORK IN SUCH RISKY ENVIRONMENT. JE, NI SABABU AJIRA NI NGUMU? NO WAY, SOMETHING MUST BE WRONG UPSTAIRS

Hata kuripea au kuweka AC/ VENTILATORS mpaka MAGUFULI afanye ziara ya kushitukiza? Hii ni aibu saana na hatari. Hata ukiwa koridoni kuna harufu mbaya kutoka na baadhi ya wagonjwa vidonda vyao kuwa vimeharibika na kwa kuwa hakuna mfumo wa kutoa hewa chafu unaofanya kazi harufu inabakia hapo mda wote. Sijui kwanini wataalam wetu hwa hawaoni kuwa hiyo ni hatari.

Tafadhari uongozi wa MOI fanyeni hima boresheni mazingira THEATER ZENU, msipofanya hivyo badala ya kutibu mnapandikizi magonjwa zaidi kwa watanzania. LET MAGUFULI DO SOMETHING ELSE!

Concerned citizen

Snps
 
Sasa madr na nurses wakiacha kazi watanzania watahudumiwa na nani? Hususan wale wasiokuwa na uwezo wa kutibiwa India???
 
Je tukiwapoteza wote kutokana na maradhi yannayoweza kuzuka pale fyeta ndio utapata wa kukutibu. Lengo kwamba waripoti hali halisi na sio kuvumilia. ili wahusika walifanyie kazi. badili tabia sikuwa na mtizamo wako.
 
Si vema kuishi kwa hisia. Lakini dhahiri na wewe ni kati ya wanaovumilia pale fyeta. Mwambieni muhusika. Magufuli ana simamia nchi nzima sio hapo kwenu tuu.
 
Back
Top Bottom