Kitendo cha wife kuingilia App ya SMS kila wakati ni kwangu tu?

nipo online

JF-Expert Member
Sep 10, 2022
202
425
Ila hawa wanawake tunaoa tu sababu hatuna wasaidizi ila of course wanaboa sana. Asione sms ya jinsi ya kike hata kama sio mbaya anakufokea.

Leo nilikua na safari town kununua mazaga ya familia kuna sister mmoja work mate alikua anasumbuliwa na simu yake, akanitext nimrekebishie chap alikuja na sister yake nikarekebisha ndani ya dakika 20 nikarudi zangu maskani sasa kuna sms katuma kua ushafika? Kibaya zaidi sijaireply.

Kumbe wife kasoma wakati nimelala mchana saiv ananiambia nimekutana na mtu wangu sijamjibu adi saiv. Dah hatari
 
Wanawake wana matatizo.
Kwenye hii case yako wote wamezingua.
Eti umefika? Yaani kurekebishiwa simu tu unaanza kuniuliza na nimefika.

Mkeo naye kaona tu "umefika " anapaniki.....
Anashindwa kujiongeza kuwa kingekuwa kitu cha siri asingekiona.
Then mi sijazingatia chochote mkuu nimeona kawaida istoshe sister mwenyewe sina time naye.
 
Ila hawa wanawake tunaoa tu sababu hatuna wasaidizi ila of course wanaboa sana. Asione sms ya jinsi ya kike hata kama sio mbaya anakufokea.

Leo nilikua na safari town kununua mazaga ya familia kuna sister mmoja work mate alikua anasumbuliwa na simu yake, akanitext nimerekebishie chap alikuja na sister yake nikarekebisha ndani ya dakika 20 nikarudi zangu maskani sasa kuna sms katuma kua ushafika.? Kibaya zaidi sijaireply.
Kumbe wife kasoma wakati nimelala mchana saiv ananiambia nimekutana na mtu wangu sijamjibu adi saiv. Dah hatari
Kwenye ndoa kinachouma PEKEE na kuumiza ni kugongewa na kuchapiwa. Mengine hayo hayana tija unaweza kuyahendo na kuvumilia.
 
Back
Top Bottom