Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,227
- 12,953
Wasalaam Members!
Tangia nisikie Mh Chenge amechukua form ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nimejikuta nikitafakari sana kuhusu kutokurudi kwake Bungeni 2020 na hizi mbio zasasa za Uspika.
Mwaka 2020 kwenye kura za maoni Mh Andrew Chenge alishinda japokuwa jina lake lilikatwa kwemye kamati kuu hivo halikurudi kwaajili ya kugombea Ubunge na hakuonesha kama anashida na ilo.
Sasa kajitosa kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge la JMT rasmi na habari zilizopo huyu mwamba anaenda kuchukua hicho kiti, swali Je! Hayati Magufuli alimlazimisha astaafu siasa? Bado Mh Chenge alitakani kuendelea kuwa Bungeni?