Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

Ni mtu mpinga maendeleo tu ndio anaweza kuona JPM ni adui over!
Ni mnufaika binafsi wa Magufuli ndiyo atamuona JPM mzalendo. Eti maendeleo ? Ni Rais gani hajawahi kujenga madaraja au mabarabara?

Msijifanye kama vile Tanzania imeanza mwaka 2015?
 
Malawi wana masilahi gani hapa mpaka wakaandike kutabu cha kumsifia Magufuli?

Magufuli kawafanyia nini cha maana kwenye utawala wake hadi aguse nyoyo zao?

Huyu Profesa anajuwa ni watu wangapi wameuliwa na Magufuli kwa kumkosoa tu kama Ben Saanane na Azory?

Kweli Profesa wa Malawi anajuwa namna wafanyabiashara wa Tanzania wamenyang'anywa fedha au wakulima wa korosho wa Mtwara na Lindi walivyodhulumiwa?

Yaani kweli huyu anajuwa namna wananchi wa Kimara-Kibaha walivyobomolewa nyumba zao bila fidia huku wanachi wa Maanza wakiachwa kwa kuwa eti ndiyo walimpigia kura?

Tusidanganyane, hii ni kazi ya HUMPHREY POLEPOLE ambaye bado ana ndoto za kuwa DIKTETA Magufuli atafufuka
Mkuu unateseka ukiwa wapi
 
IMG-20230606-WA0038.jpg
 
Attachments

  • IMG-20230606-WA0038.jpg
    IMG-20230606-WA0038.jpg
    102.2 KB · Views: 3
Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kilichoandaliwa na raia wa Malawi kwa lengo la kutambua mchango mkubwa wa kimaendeleo kwa bara la Afrika uliofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Magufuli kimeingia rasmi Tanzania na kupokelewa kwa kishindo na wananchi, wasomi wengi wameonekana kuwa na kiu ya kutaka kujua ni namna gani akili ya hayati Magufuli ilivyokuwa inafanya kazi kwa haraka na kuwezesha kutekeleza miradi mikubwa sana ndani ya muda mfupi wa utawala wake.

Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kina jumla ya kurasa 800 na tayari kimethibitika kupandikiza nuru ya uzalendo na uthubutu kwa mataifa yao kwa wale waliokisoma.
Kitabu hiki kinatazamiwa kutapakaa kote Tanzania, barani Afrika na duniani kote hasa kwa jamii inayojitambua.View attachment 2643855
True son of Africa
 
Nakipataje mkuu hiki kitabu
 
Hata bure au kupewa pesa sikihitaji.
 
Jaribio la kukizindua hapa tz ni uhaini, litakomeshwa!!
Lakini haitasaidia, kitaenea, ni vyema kimeandikwa nje.
 
Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kilichoandaliwa na raia wa Malawi kwa lengo la kutambua mchango mkubwa wa kimaendeleo kwa bara la Afrika uliofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Magufuli kimeingia rasmi Tanzania na kupokelewa kwa kishindo na wananchi, wasomi wengi wameonekana kuwa na kiu ya kutaka kujua ni namna gani akili ya hayati Magufuli ilivyokuwa inafanya kazi kwa haraka na kuwezesha kutekeleza miradi mikubwa sana ndani ya muda mfupi wa utawala wake.

Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kina jumla ya kurasa 800 na tayari kimethibitika kupandikiza nuru ya uzalendo na uthubutu kwa mataifa yao kwa wale waliokisoma.

Kitabu hiki kinatazamiwa kutapakaa kote Tanzania, barani Afrika na duniani kote hasa kwa jamii inayojitambua.View attachment 2643855
Malawi mwananchi mmoja amekinunua Kwa 1500000. Sijui kile Cha dar kilinunuliwa sh ngapi wakati wa ufunguzi
 
Back
Top Bottom