Salaam, Shalom!!
Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI".
Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE Ili kupingana na msemo wa Mzee mmoja aliyetamka hadharani kuwa. "WAZURI HAWAFI".
Karibuni🙏