Kisasi

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Siku ya matanga mtoto mmoja jirani alikuta chakula na vinywaji vimekwisha,kila alipojaribu ili pate hata kiduchu akaambiwa na watoto wenzie hakuna akatoka analia huku akiwaonya baba yake akifa hawataambulia hata maji
 

Attachments

  • day_photos018--450x600[1].jpg
    day_photos018--450x600[1].jpg
    31.6 KB · Views: 58
Back
Top Bottom