Kisa cha chizi

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Kichaa mmoja alipanda juu ya mti wa maembe,akiwa juu mara akajiachia na kudondoka chini,jamaa mmoja aliyemwona akamfata na kumuuliza kulikoni?
Chizi akajibu; nahisi nimeiva,niokote kwa matumizi. Teh teh teh!
 
Back
Top Bottom