Kipodozi gani bora kwa mwanamke?

Kihunga

Member
Aug 5, 2012
13
3
Wana Jf naomba mnjuze, mwanamke atumie atumie kipodozi gani kisicho na mathara? Na ambacho kitafanya ngozi iwe laini ila ibaki na rangi yake ya asili.
 
Wana Jf naomba mnjuze, mwanamke atumie atumie kipodozi gani kisicho na mathara? Na ambacho kitafanya ngozi iwe laini ila ibaki na rangi yake ya asili.

kwa ngozi laini, flawless na kupunguza makunyanzi tumia asali, olive oil na coconut oil....ukiongeza na sun screen lotion si mbaya hasa kama unatembea sana kwenye jua

kuosha uso - tumia asali
osha uso na maji , paka usoni asali kijiko 1 cha chai (kama unavyopaka face washing creams), osha tena na maji kuondoa asali yote, jifute na taulo (unaweza ukaacha asali usoni kwa dakika chache , ukaingia bafuni kuoga halafu ukaiosha baada ya kuoga)

day time - tumia coconut oil
asubuhi baada ya kuosha uso na asali paka mafuta ya nazi (cold pressed extra virgin is the best), drops 1-2 inatosha usiweke mengi, unaweza kupaka sun screen lotion pia (juu ya mafuta ya nazi) na vipodozi nyako kadri unavyopenda (kama unatumia face powder yenye uv protection haina haja ya kuongeza sun screen)

usiku - tumia olive oil (extra virgin olive pekee!)
ukishaosha uso na asali, paka olive oil (asali ni make up removal pia!)

life style:
epuka junk food, include mboga mboga au matunda kwenye kila mlo wako (kumbuka mboga si lazima iwe kisamvu au mchicha ulioungwa na nazi - time consuming) unaweza ukatafuna carrot au tango bichi au nyanya au kachumbari ya kabeji tu inatosha kabisa..., KUNYWA MAJI YA KUTOSHA, angalau lita mbili kwa siku..

mafuta ya olive yanapatikana kwenye supermarkets
 
Back
Top Bottom