Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Haya ni matokeo ya Kikwete kuleta urafiki na nani alinisaidia wapi. Nawasihi viongozi wa CCM achaneni na huyu jamaa ameshaua chama jipangeni, na sasa kuna vilaza wake ambao wanalia apate iti ili awahurumie, serikali ya kuhurumiana mpaka lini???? watu sasa hivi wamejitosa wengi kwenda kumpigia kampeni na bado kashindwa ili wapewe ukuu wa wilaya. ni ushauri wa bure kwa mnaopenda nchi.
Mwisho wenu umefika naomba Mungu awape maisha marefu ili cha moto mkione.
Mwisho wenu umefika naomba Mungu awape maisha marefu ili cha moto mkione.